SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Tumia SnapTube, icheki Google. Not play storeNaombeni app ya kudownload video YouTube viedoder imenizingua, vidmate siitaki ina matangazo kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia SnapTube, icheki Google. Not play storeNaombeni app ya kudownload video YouTube viedoder imenizingua, vidmate siitaki ina matangazo kibao
Naomba unitajie jina la hii app, picha imekatika haifunguki mkuuView attachment 2136843
* Kwangu nikitaka app za simu bila kutumia googleplay ambayo inahitaji akaunti ya email kabla ya chochote huwa na google 'jina la app'.apk ... unapata app ya ku download moja kwa moja chap bila kupitia googleplay
Hii app ina faida kwa mwanafunzi, mwanachuo, mfanyakazi wa ofisini kwa sababu, na yeyote anaetumia
Hii app ina vitu vingine sijavijaribu bado... ila kwa kweli ina kila kitu na zaidi kuhusiana na document. Yaani imeunganisha Microsoft Office + PDF + eREADER + ...
- Inaendana na Microsoft Office - Kwa mfano, kiuhalisia ni wanafunzi ama wanachuo wachache wanamiliki pc ama laptop, lakini wengi wana smartphone. Kwa hiyo, unashughulukia kazi ya WORD ama EXCEL shuleni ama chuoni una kiporo. Una copy hiyo kazi unaingiza kwenye simu kisha unaifungua na hii app, unamalizia kazi yako kitandani, una-save. Kesho shuleni una upload kazi ulio save - sasa ukifungua tena na WORD ukafungua kazi yako uliomalizia kitandani itakuja kama ulivoi save na format zitakuwa poa... Ama unaunganisha simu ku print pale stationary unaenda na homework done shuleni.
- Hii app inasoma PDF hata ku-edit PDF... siku hizi fomu nyingi rasmi ama za kiserikali zinatumia mfumo wa PDF.
- Hii app pia ina scan na unaweza ku save ulicho scan kama WORD, PDF ama mifumo mingine kama picha JPEG nk
- Hii app nimeitumia mara nyingi kusoma vitabu - vitabu vingi vimo katika mfumo wa PDF na tunajua inafungua - lakini pia inafungua vitabu vya mfumo wa ePUB nahisi na mifumo mingine pia na inakupa uwezo wa kusoma kitabu kama kurasa na pia kukuza herufi.
AlooooooTumia King root
Ipoo mkuuHivi wakuu hamna namna ya kufanya installation ya apps kwenye smart Tv
Tumwagie maujanja hayoIpoo mkuu
Please elezea mkuuIpoo mkuu
Njia nyingine ni kuinstall app inaitwa 'Aptoide TV'.hii inapatikana google so nenda google andika hilo jina kisha download kwenye simu yako na uisend kwa kutumia zile app nilizotaja hapo juu then install kwa smarttv yako hii ndio Aptoide TV hii ni playstore ya smartv ina apps ambazo google playatore hazipo. View attachment 2771849View attachment 2771856
Mkuu njia hiyo ya kwanza mdio itakuwezesha kuangalia mpira...nenda kwenye google katafute app inaitwa SPORTS FIRE .. au Yaccine tv hizo zitakupa burudani unachagua tu uangalie channel za nch ganiMkuu mm naomba namna ya kuangalia mechi mbali mbali za mpira wa miguu kama vile EPL kwa kutumia Android smart tv.
Smart tv zote zina playstore mkuu?Na hapa ni masuala ya moviee latest ni kustream tu inaitwa Onstream ....View attachment 2771909
Kitu kama hicho mkuu sina uhakika ....kama hawana playstore basi watakuwa na store yao jaribu kuangalia tv yakoSmart tv zote zina playstore mkuu?
Ya kwangu ni Hisense smart
Mkuu njia hiyo ya kwanza mdio itakuwezesha kuangalia mpira...nenda kwenye google katafute app inaitwa SPORTS FIRE .. au Yaccine tv hizo zitakupa burudani unachagua tu uangalie channel za nch ganiView attachment 2771902
Hapa nacheck package ya dstv south africaView attachment 2771906
Hii ni apps ya kuangalizia movie online?Na hapa ni masuala ya moviee latest ni kustream tu inaitwa Onstream ....View attachment 2771909