Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna wakati simu inakupa ujumbe kuwa memory haina nafasi wakati nafasi iliyobaki ni kubwa basi tumia smart booster
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Hakika Mkuu Mobdro IPO poa. .. Yaani ni ww tu na Bundle yako . ! .
nimefurahi Kuzikuta channel nnazozioenda .

Moja ikiwa ni ID invenstagation..

Kilichobaki no kuproove tu kama kweli ziko live au recorded .. nitachungulia kwnye TV kwa Kumake Comparison.
 
Zachavier.

No App ya ku Extract file .

Hii ilitimiza ndoto zangu za kucheza Games mbili ambazo sikuwa kudhani ningeweza kuzicheza kupitia Simu.

GTA ..(all Cities) na Call of Duty Team Strike ..Zote zikiwa ni Free .
 
Mobdro inasifiwa sana humu ndani lakini kwangu ni shida nimetumia mitandao kama tigo na halotel ambayo huku niliko inaonyesha H+ lakini ukiangalia game inagandaganda tatizo nini!
Unatumia aina gani ya simu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…