Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Download Lucy patcha
Then uta i patch
Utatengeneza patched apk Isiyo na haja ya kulipia
au download data ambazo ni free kutoka kweny torrent then u download apk kutoka blackmart
Poa mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Hivi wakuu hamna jinsi naweza fanya nikatumia namba mbili kwa w'app ktk simu moja,naomba kama inawezekana na kuna mtu anaejua anielekeze.
Njia hii pia itakusaidia.
Nenda play store download app inaitwa parallel space then utaweza add whatsapp kwa namba nyingine then enjoy.
 
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
Iyo hustler tv nimeiangalia siioni kwakwelii ipo upande gani???
 
Njia hii pia itakusaidia.
Nenda play store download app inaitwa parallel space then utaweza add whatsapp kwa namba nyingine then enjoy.
Poa mkuu nashkuru kwa ku-share,ila nilishafanikiwa.
 
Naombeni application ya kublock SMS yani nataka huyo mtu akinitumia nisipate kabisaaa
 
Njia hii pia itakusaidia.
Nenda play store download app inaitwa parallel space then utaweza add whatsapp kwa namba nyingine then enjoy.
Mbona wananiambia ili kutumia hadi ni root simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…