Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Natafuta android apk itakayoniwezesha kutuma bulk SMS kwa kutumia contscts zilizopo kwenye excel file
Nimeroot Xperia z2 android 6.0.1 kwa Kingroot imekubali kuwa rooted ila nikirestart simu inarudi kuwa-unroot.
Kwa anayejua ufumbuzi wa hili naomba Masada.
 
Habari Wana Jukwaa, nimewahi kusikia uwepo wa app inayowezesha simu kutumia internal memory kwa kushare na memory card?
 
I meant kama simu ina internal memory ndogo basi kuna app inayowezesha kumega memory kutoka sd card
 
Naomba unisaidie kunielewesha hio adds ni nini fanya kweli nielewe
 
Habari za asubuhi WanaJF, naomba mwenye kujua system font changer nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…