*Bold*Naomba unitumie codes zote unazozijua mkuu
Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstoreJamani mimi nataka kudown load mobdro lakini nashindwa. Hii apps kama alivyosema senetor jr haipatikani play store. Natumia sumsung galax s3. Nikitumia ile link aliyoweka pale kwenye post yake #1 inadownlord ila baadae inaniambia istall block na sababu ni kuwa hii pc yangu haisupport apps ambayo haipo play store.
Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstore
Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstore
Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstore
Mobdro huwezi upata play store.Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstore
Sawa, basi atumie Uc browser inakubaliView attachment 378355 inatakiwa uwe na logo kama hiyo hapo vhini
Ni kweli mkuu, nilipotea kidogo hapo, nilitaka kumwambia atumie app ya Uc browser, maana mm pia niliidowload kupitia hy appMobdro huwezi upata play store.
Itafute google andika tu mobdro.apk
MSAADA WENU WAKUUWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Asante*Bold*
_italic_
~strickout~
Reboot niku restart (simu inajizima na kujiwasha yenyewe) ikishajiwasha ndio hiyo font uliyoichagua itaanza kufanya kaziNaomba msaada plz nini maana ya ku reboot sim na kui reboot sim ina inasaidia nini naomba mnijuze make kuna app nimetaka kuiweka sim inataka ni ireboot app yenyewe nimeipata humu ni iFONT
Mkuu embu jaribu hii pia ni nzuri..Habar zenyu wakuu.. Anaye fahamu software nzur za ku edit pictures tushirikishane.
ASPHALT_NITRO_V1.4.0K_MOD.APKAsphalt nitro