Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Jamani mimi nataka kudown load mobdro lakini nashindwa. Hii apps kama alivyosema senetor jr haipatikani play store. Natumia sumsung galax s3. Nikitumia ile link aliyoweka pale kwenye post yake #1 inadownlord ila baadae inaniambia istall block na sababu ni kuwa hii pc yangu haisupport apps ambayo haipo play store.
Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstore
 
Habar zenyu wakuu.. Anaye fahamu software nzur za ku edit pictures tushirikishane.
 
Playstore ipo mkuu nimeidowload kupitia playstore
uploadfromtaptalk1470727481573.png
inatakiwa uwe na logo kama hiyo hapo vhini
 
Mobdro huwezi upata play store.
Itafute google andika tu mobdro.apk
Ni kweli mkuu, nilipotea kidogo hapo, nilitaka kumwambia atumie app ya Uc browser, maana mm pia niliidowload kupitia hy app
 
MSAADA WENU WAKUU

Jamani kuna app inauzwa nimeidownload kama wiki moja hv imepita, sasa hv imejifunga inataka niweke vadilization code of purchasing coz niliyokuwa natumia ni trial

INAITWA eWeather HD
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
MSAADA WENU WAKUU

Jamani kuna app inauzwa nimeidownload kama wiki moja hv imepita, sasa hv imejifunga inataka niweke vadilization code of purchasing coz niliyokuwa natumia ni trial

INAITWA eWeather HD
 
Jamani mimi nataka niangalie hii Olympic game ya Rio channel gani zinaonyesha kwenye mobdro sports channel?

Msaada tafadhali.
 
Naomba msaada plz nini maana ya ku reboot sim na kui reboot sim ina inasaidia nini naomba mnijuze make kuna app nimetaka kuiweka sim inataka ni ireboot app yenyewe nimeipata humu ni iFONT
 
Naomba msaada plz nini maana ya ku reboot sim na kui reboot sim ina inasaidia nini naomba mnijuze make kuna app nimetaka kuiweka sim inataka ni ireboot app yenyewe nimeipata humu ni iFONT
Reboot niku restart (simu inajizima na kujiwasha yenyewe) ikishajiwasha ndio hiyo font uliyoichagua itaanza kufanya kazi
 
Kwa wale wa Football and Basketball Betting (Kubashiri)...
BankoCep Tips hii hapa
-BankoCep - Betting Tips
 
Back
Top Bottom