ham d ibrahim
Member
- Oct 1, 2016
- 29
- 4
0672915850 niungeeeNiunge 0743624579
ShazamHarafu kuna App moja hivi, kam yapatikana kweny iPhone, iko hivi#endapo mziki unapiga ikishika tu ina search jina la wimbo
Haha mimi ndo iliponikela hapoWakuu mm napenda sana hii insta+ tatizo inakata kata kila sekunde View attachment 417906
Inaitwaje iyo appsXe Currency Ni Moja Kati Ya App Zisizokosekana Kwenny Simu Nayotumia! Ni App Ya Kuangalia Thaman Na Viwango Vya Fedha Za Nchi Mbali Mbali, Hata Ukiihitaj Kufahamu 2000 Ya Malawi Ni Sawa Na Tshs Ngapi? Itakuonyesha!! Inakupa Option ya Kuchagua Nchi Unazotaka Kujua Thaman Za Pesa Zao. Ni Useful Kwangu Inanirahisishia Sanaa.
Sent from my V8+ using JamiiForums mobile app
Ok nzuri sana iyo appsXe Currency Ni Moja Kati Ya App Zisizokosekana Kwenny Simu Nayotumia! Ni App Ya Kuangalia Thaman Na Viwango Vya Fedha Za Nchi Mbali Mbali, Hata Ukiihitaj Kufahamu 2000 Ya Malawi Ni Sawa Na Tshs Ngapi? Itakuonyesha!! Inakupa Option ya Kuchagua Nchi Unazotaka Kujua Thaman Za Pesa Zao. Ni Useful Kwangu Inanirahisishia Sanaa.
Sent from my V8+ using JamiiForums mobile app
Kwel Ila nahis mwanzoni tuu mm yangu ilikuwa inakata Kata but now imetulia kabisa naenjoy Kama kawaida bila kustop stopWakuu mm napenda sana hii insta+ tatizo inakata kata kila sekunde View attachment 417906
Mkuu labda ujaribu ku clear cache za hiyo appWakuu mm napenda sana hii insta+ tatizo inakata kata kila sekunde View attachment 417906
Haizidi laki tano na nusuJamani samahani hivi Techno phamtom 6 inauzwa shilingi ngapi hapa Tz