Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
- Thread starter
- #121
Inaua sana sinu aseeKwanini Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaua sana sinu aseeKwanini Mkuu?
Bila rooting huwez enjoy simu yako. Sema tu wengi hawana elimu na hii ishu.Hii kitu sikubali kabisaa
Speed ya tomabo ni tofauti na na hiyo tubemate ..Tomabo ina nn kikubwa? Weka features mkuu..
Hii tubemate ni modded apk
Na hiyo tomabo ni ya android au pc?
Hii ni matata sana haili spec kwenye simu kabisaaa naikubal sana asee kuna apps huwez kuta kwingine iko pale mfano Bbc swahili noma sanaaNa APTOIDE hivo hivo ....
Kuna nini cha zaidi hapa mkuuOoook mkuuu,, mi nilizoea u-stream
Hivi ngono ndo niniUkitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
Mkuu vipi siku hizi Ant theft rooted wamaifungia? inakataa kabisa katika pale kuchagua root intall.Kwa Upande Wa Security Avast Kwangu Ni Bora, Inakuwezesha Kuipata Simu Kma Imeibiwa Au Kupotea Kwa Kutumia App Yake Ya Anti- Theft. Ina Automatic Scan Unaset Kila Siku Muda Flan Inascan Simu Na Kukupa Repot Kma Kuna Tatizo/App Inayoweza Iathiri Simu Inakwambia. Kwa Upande Wa Music Kuna Music match Hii Inakuwezesha Kuplay Music Huku Ikidisplay Lycis Za Nyimbo Unayoplay, Pia Ina Music ID Inayokuwezesha Kuitambua Nyimbo Usiyoijua Ila Unaisikia May Be Unaitaka Labda Inapgwa Radion Ila Aujui Kaimba Nani Na Unaipenda Unaweka Music I'd Inakwambia Jina La Wimbo Na Muimbaj Hapo Hapo Inakupa Options Ya Kuudownload Huo Wimbo. Ina Option Ya Kucreat Card Via Lycis Inayodisplay Pindi Unapoplay Music. Kuna Tunein Radio Inakuwezesha Kusikiliza Radio Maeneo Ambayo Radio Ya Kawaida Aikamati Inazo Local Radio Zotee Pia Ina Radio Za Nje Kibao Na Zinazopga Miziki Ya Taratibu Ya Zamani Kuanzia Miaka Ya 80 Kuja Juu. Kuna App Nyingi Nzur Sanaa.
í ½í¸í ½í¸í ½í¸mtafte na apps moja inaitwa true caller .idownload ntakwambia kituu chezea jf weweHujambo weye? Umejichimbia Songea hata hutukumbuki!!
Hahahaha jamani mbona nawakumbukaHujambo weye? Umejichimbia Songea hata hutukumbuki!!
Namimi utanambia kitu nikisha I pakua[emoji1]í ½í¸í ½í¸í ½í¸mtafte na apps moja inaitwa true caller .idownload ntakwambia kituu chezea jf wewe
Simu Gani Unatumia?Mkuu vipi siku hizi Ant theft rooted wamaifungia? inakataa kabisa katika pale kuchagua root intall.
2: Avast Anti theft
- Download version ya kawaida kwenye playstore. Patch kwa Luckypatcher utapata premium version.
Hii avast ukiiweka huwezi poteza Android yako. Hata ukiibiwa unainaweza kuitrack kwenye website ya avast. Hata kwa SMS kupitia simu y mtu unaweza kuifunga, kuiuliza simu ilipo ikakutumia location via email through Google map.
Mwizi akibadilisha line itakwambia line iliyowekwa na number yake.Just Google it utapata faida zake
Simu Gani Unatumia?
uko tayari kwa mashartiNamimi utanambia kitu nikisha I pakua[emoji1]
Sema mashart gani niletee mbuzi wa kijani auuko tayari kwa masharti
Nataka mkia mweusi wa kondooSema mashart gani niletee mbuzi wa kijani au
Ebwane Mbona hizi game zinakataa Nikita kubadilisha gari simu yangu IPO rooted lakini inazinguaBila rooting huwez enjoy simu yako. Sema tu wengi hawana elimu na hii ishu.