Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hivi wadau kuweza ku-edit picha na texts kwenye smartphone kinachotumika ni app au uwezo wa simu husika?
Ni simu yenyewe pia kuna app inategemea na edit zako unazoziitaji kama Mimi natumia natumia cymera.
360 camera na Adobe PS touch
 
Blackmart kwa rooted Android. Hiii app inakusaidia kupata app zooote za play store zinazouzwa bure. Haipatikani Google play. I search kwenye search engines
Kwa kulekebisha tu mkuu...hii blackmart inapatika pia kwa simu ambazo haziko rooted
 
Ebwane Mbona hizi game zinakataa Nikita kubadilisha gari simu yangu IPO rooted lakini inazingua
714c635040198cd7d6de6a4785b0086e.jpg
Mkuu hiyo game inaitwaje?
 
Ila uki-root simu yako ucjeku-download app za masuala ya bank kama NMB App. Wenyewe wameonya ktk vipeperushi vyao coz usalama wa account yako utakuwa mdogo sana.


Binafsi nimei-root simu yangu. Naimba unijuze nawezaifaidi vipi?
Kabla sijajibu swali lako wewe wakati una root zipi sababu zilipelekea wewe kufanya hivyo?
Maana waweza haribu simu tukaonana wabaya kumbe ni wewe mwenyewe hujajua unachotaka kufanya.
 
Kabla sijajibu swali lako wewe wakati una root zipi sababu zilipelekea wewe kufanya hivyo?
Maana waweza haribu simu tukaonana wabaya kumbe ni wewe mwenyewe hujajua unachotaka kufanya.
Simu yangu ni ya halotel so SIM 1 inaingia line ya halotel pekee.
Ukikosea ikaweka line ya halotel ktk SIM 2 hujifunga na kukataa line ya mtandao mwingine ktk SIM2. Huwez kutatua tatizo hapo mpaka ui-root simu ndo hiyo lock inatoka.
 
Hilo ni kweli uki root simu ambayo ni fake kwenye kuji reboot itaishia hapo hapo au isiwake kabisa, mimi hilo lilishanikuta.
Simu ilikufa jumla.
Me Halijawah Nikuta Ila Nafahamu. So Bora Umwambie Kabisaa...Kma Ni Fake Asije Lia Humu Na Simu Inaweza Kuwa Fake Akajua Ni Orjino Ila Hill Zoez Likifanyka Ikazma Ndio Hivyo Fake. Kma Simu Orjino Hakuna Shida. Labda Shida Itakua Jinsi Ya Kukamilisha Zoez.
 
Back
Top Bottom