Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ukiwa na super su unakua na options nyingi sana tofaut na kweny kingroot utakua na king user..mfano kuna hadi blotware zingine huez zitoa kwa king user pia options kama full unroot sidhan kama utaipata ..kikubwa ni features mkuu..pia unaweza kutana na apps flan zikakwambia your device is not well rooted
Its too complicated unaweza usinielewe ila kama umecheza sana na rooting utajua kingroot haina maana

Ila kwa simu za mediatek kama yako nafikir kingroot ndo yenyewe
Mkuu natumia tecno m9 (phantom iiiA) nimeiroot kwa kingroot lakini kuna bloatware nimeshindwa kuziondoa hapa nafanyaje?
 
Mkuu natumia tecno m9 (phantom iiiA) nimeiroot kwa kingroot lakini kuna bloatware nimeshindwa kuziondoa hapa nafanyaje?
Umetumia app gan kutolea hizo bloatware?
 
Back
Top Bottom