Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Applock kwa wale wazee Wa privacy hii ni nyoko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu much thanks nimefanikiwa.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
NimeshafanikiwaLi rename kwa kuonveza .apk
Mkuu kwani utaratibu wa kuzipata hizo laini za chuo ukoje?Mkuu fikiri ndo ukoment kaka ..Si kila laini ya halotel imeungwa halo university
Karibu bossMkuu much thanks nimefanikiwa.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pamoja mkuuKaribu boss
Mimi mimetoa suggestion tu kaka..kwamba betta ukatafuta ya chuo otherwise hizi za kawaida maumivu tuMkuu fikiri ndo ukoment kaka ..Si kila laini ya halotel imeungwa halo university
Naomba utaratibu wa kupata hiyo halo universityMimi mimetoa suggestion tu kaka..kwamba betta ukatafuta ya chuo otherwise hizi za kawaida maumivu tu
Mkuu natumia tecno m9 (phantom iiiA) nimeiroot kwa kingroot lakini kuna bloatware nimeshindwa kuziondoa hapa nafanyaje?Ukiwa na super su unakua na options nyingi sana tofaut na kweny kingroot utakua na king user..mfano kuna hadi blotware zingine huez zitoa kwa king user pia options kama full unroot sidhan kama utaipata ..kikubwa ni features mkuu..pia unaweza kutana na apps flan zikakwambia your device is not well rooted
Its too complicated unaweza usinielewe ila kama umecheza sana na rooting utajua kingroot haina maana
Ila kwa simu za mediatek kama yako nafikir kingroot ndo yenyewe
Umetumia app gan kutolea hizo bloatware?Mkuu natumia tecno m9 (phantom iiiA) nimeiroot kwa kingroot lakini kuna bloatware nimeshindwa kuziondoa hapa nafanyaje?
Upo pande zipNaomba utaratibu wa kupata hiyo halo university
Kingroot hiyo hiyo nazitoa nikifungua nazikutaUmetumia app gan kutolea hizo bloatware?
Tumia hii mkuuKingroot hiyo hiyo nazitoa nikifungua nazikuta
shukrani mkuu imekubaliTayari mkuu unapata link sasa hivi
Nipo tegetaUpo pande zip
Ukija posta siku nitafuteNipo tegeta
Zimegoma mkuu
Ndio mana sishauri kingrootZimegoma mkuu