Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mana kuna moja niliipakua naona inanizingua nashangaa namba nimeireject ila utashangaa inaita au mtu anatuma SMS
Ipo Moja Unaset Namba Akipga Inajikata Bila Yy Kutambua Tatzo Na Kwenye Simu Yako Aiitii, Ila Ukiingia Kwenye Hii App Unakuta Calls $ Msg Za Uliowaset. Ila Wanapokupigia Au Kukusms Simu Aitoi Ishara Yyte.
 
294c1c5f4661ac044df962747e11c5c4.jpg

Nikipakua hapo ikimaliza nikiclick inaniambia can't open file
Hahaa dah kiswahili kigumu eti kichungulio
 
Ha
Nilisahau waungwana CAll Popout ni ya lazima kuwa nayo hii unafanya kazi ukiwa rooted au bila root.
Application hii ukiwa unatumia mtandao simu inapoingia haikatishi ulichokua unafanya.
Mfano kama unatoa Tigo pesa simu ukiingia unauwezo wa ku mute na ukamalizia muamala.
Unapokea simu pale unapohitaji bila kuathiri shughuli zako.
Playstore wanayo
Hata mimi E5 inafanya hivyo bila ku-install hii application.
 
Back
Top Bottom