Erickjr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 994
- 787
Ipo Moja Unaset Namba Akipga Inajikata Bila Yy Kutambua Tatzo Na Kwenye Simu Yako Aiitii, Ila Ukiingia Kwenye Hii App Unakuta Calls $ Msg Za Uliowaset. Ila Wanapokupigia Au Kukusms Simu Aitoi Ishara Yyte.Mana kuna moja niliipakua naona inanizingua nashangaa namba nimeireject ila utashangaa inaita au mtu anatuma SMS