Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ndio mana nashauri kutotumia kingroot

Tumia apps za chainfire kama unatumia samsung

CF-Root Download
Kwaajili ya s5

Kingroot sio nzur kabisa haikupi super su otherwise hadi uje kuhama kutoka kinguser to super su via super sume app
Kwa Xperia z1 compact unaweza tumia ipi japo kingroot imefanya kaz ila super user sijaiona
 
Kwa Xperia z1 compact unaweza tumia ipi japo kingroot imefanya kaz ila super user sijaiona
Xperia njia rahisi ni hyo ya kingroot ila pia unaweza shift from king user to super user kwa ku update binary via super sume app hii itakuletea super su from king user
 
King user na super user sio apps za kuroot

Kuroot iyo simu yako tumia CF-Root Download

Hii njia ya computer ni dk 1 tu na ni uhakika

Ukitaka kubahatisha jaribu framaroot na towel root hizi bila computer. .ila zote zikigoma njia itayokufaa ni hiyo ya pc ambapo utapata zip ya chainfire..jamaa ndo mbabe wa kuroot hizo samsung

Ukiwa super user utafanya mengi kuliko kinguser ambayo utapewa na king root kuna kaz itachemka kufanya.
Mkuu hiyo super sume ilinilaza na mawazo daaah nilijuta nili intall simu wakati wa kujirestat ikawa inogomea kwenye logo ya tecno. Ilinibidi buku10 initoke leo kuiflash simu yangu.
 
Mkuu hiyo super sume ilinilaza na mawazo daaah nilijuta nili intall simu wakati wa kujirestat ikawa inogomea kwenye logo ya tecno. Ilinibidi buku10 initoke leo kuiflash simu yangu.
Kuroot simu za kichina hiz hasa tecno ni rahisi kukutwa na majanga..

Anyway ungekuja hapa jf tungekusaidia kusolve hiyo issue

Pole sana mkuu ndo rooting hiyo na majanga yake
 
Kuroot simu za kichina hiz hasa tecno ni rahisi kukutwa na majanga..

Anyway ungekuja hapa jf tungekusaidia kusolve hiyo issue

Pole sana mkuu ndo rooting hiyo na majanga yake
Majanga ya kuroot nayajua kaka lkn sikutegemea kwa ishu kama hiyo.
Yani ni hiyo apk ya super sume ndio iliniletea majanga.
Nitakuchek inbox mkuu.
 
Back
Top Bottom