nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Ijaribu hiyo alafu utaniambia. Iko poa sana aiseeMkuu kuna utofauti gani kati ya whatsapp plus na gb whatsapp new version
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijaribu hiyo alafu utaniambia. Iko poa sana aiseeMkuu kuna utofauti gani kati ya whatsapp plus na gb whatsapp new version
Mkuu nimepotosha kwa namna gani?Acha kupotosha umma.
Sky sport 1 nadhani wanataka kuonesha ya man city.. Premier sport wamemaliza kuonesha ya Chelsea na SwanseaNimecheki game ya Madrid.
Vipi za EPL ni Chanel IPI?
Je kuna movies kwenye hiyo app maanamimi ugonjwa wangu ni movieMobdro is the best yaan mpira unaangalia hadi bas ,news kuanzia bbc hadi cnn,music etc
vipi kwa mechi moja unaweza kuangalia kwa kiasi gani cha data? MBSky sport 1 nadhani wanataka kuonesha ya man city.. Premier sport wamemaliza kuonesha ya Chelsea na Swansea
Mkuu data zinaenda Sana Mimi naunga cha mwezivipi kwa mechi moja unaweza kuangalia kwa kiasi gani cha data? MB
ila kwa makadirio unakadiria znaweza kufika 500MBMkuu data zinaenda Sana Mimi naunga cha mwezi
Sijaona mkuu.vipi kwa mechi moja unaweza kuangalia kwa kiasi gani cha data? MB
Kwa Xperia z1 compact unaweza tumia ipi japo kingroot imefanya kaz ila super user sijaionaNdio mana nashauri kutotumia kingroot
Tumia apps za chainfire kama unatumia samsung
CF-Root Download
Kwaajili ya s5
Kingroot sio nzur kabisa haikupi super su otherwise hadi uje kuhama kutoka kinguser to super su via super sume app
Xperia njia rahisi ni hyo ya kingroot ila pia unaweza shift from king user to super user kwa ku update binary via super sume app hii itakuletea super su from king userKwa Xperia z1 compact unaweza tumia ipi japo kingroot imefanya kaz ila super user sijaiona
Mkuu hiyo super sume ilinilaza na mawazo daaah nilijuta nili intall simu wakati wa kujirestat ikawa inogomea kwenye logo ya tecno. Ilinibidi buku10 initoke leo kuiflash simu yangu.King user na super user sio apps za kuroot
Kuroot iyo simu yako tumia CF-Root Download
Hii njia ya computer ni dk 1 tu na ni uhakika
Ukitaka kubahatisha jaribu framaroot na towel root hizi bila computer. .ila zote zikigoma njia itayokufaa ni hiyo ya pc ambapo utapata zip ya chainfire..jamaa ndo mbabe wa kuroot hizo samsung
Ukiwa super user utafanya mengi kuliko kinguser ambayo utapewa na king root kuna kaz itachemka kufanya.
Kuroot simu za kichina hiz hasa tecno ni rahisi kukutwa na majanga..Mkuu hiyo super sume ilinilaza na mawazo daaah nilijuta nili intall simu wakati wa kujirestat ikawa inogomea kwenye logo ya tecno. Ilinibidi buku10 initoke leo kuiflash simu yangu.
Majanga ya kuroot nayajua kaka lkn sikutegemea kwa ishu kama hiyo.Kuroot simu za kichina hiz hasa tecno ni rahisi kukutwa na majanga..
Anyway ungekuja hapa jf tungekusaidia kusolve hiyo issue
Pole sana mkuu ndo rooting hiyo na majanga yake
Ndio mana nasema rooting ikiwa associated na ndugu zakeMajanga ya kuroot nayajua kaka lkn sikutegemea kwa ishu kama hiyo.
Yani ni hiyo apk ya super sume ndio iliniletea majanga.
Nitakuchek inbox mkuu.
Yaan ni MB zako tu movie ziko kila ainaJe kuna movies kwenye hiyo app maanamimi ugonjwa wangu ni movie