Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hapo kwenye Gunship Battle ndio kwenyewe , ile leval ya ngapi sijui ile ya kuvamia coast kwenye kule barafu ngumu kinoma kuna mziki wa kufa mtu.
Mimi simu yangu inavitu hivi
c628f7f01957537d083dfd22d9fa92d5.jpg
c214ba9b5f2434243f349bdd260fbfa8.jpg
31542ef98e0e4096bfe0a623dc611015.jpg
1e216a3bc3ae2bd13ad715ab7c9d08f3.jpg
 
Hii kuroot ndio nataka kuijua ... Hii Embu Mnoambie kwenye Hauwei P6 .
Aa KuUpdate kutoka Kitkat kwnda Lolipop
Kuroot ni kitu kingine na update ni kingine, sema huwezi kuweka rom mpya bila kuroot simu.
 
Hebu tushirikishane hapo kwenye VPN hapo hasa faida yake mkuu.
Faida za vpn ni nyingi kulinganisha na hasara.mosi utaweza kufungua site zote zilizoblokiwa.mfano siku hizi whatsap call wameblock ukiwa na vpn wewe utatwanga tu simu bila shida.kuna some apk bila vpn huwezi zitumia coz zinakuwa zinalimit ya sehem fulani tu.pia itakufanya uwe huru huko mitandaoni coz unakuwa umejificha.
 
naomba kujua km ni ki root simu yangu nitapoteza vitu vyote nilivyo kuwa navyo toka mwanzo mf km picha musick nk
Hapana, ila utapoteza warranty ya simu, na pia hutapata auto update notif........
 
Faida za vpn ni nyingi kulinganisha na hasara.mosi utaweza kufungua site zote zilizoblokiwa.mfano siku hizi whatsap call wameblock ukiwa na vpn wewe utatwanga tu simu bila shida.kuna some apk bila vpn huwezi zitumia coz zinakuwa zinalimit ya sehem fulani tu.pia itakufanya uwe huru huko mitandaoni coz unakuwa umejificha.
Nakumbuka kuna sehemu nimewahi kupitia wanaeleza kuwa VPN ukiwa nazo unaweza pata internet bure sikuelewa. Ila nidownload nikaweka ktk cm yangu nikaona sielewi nikatoa kwenye cm yangu. Hebu kama unajua hapo kwenye internet bure nipe elim kidogo.
 
Mimi nishamaliza level zoteee nilikuwa nacheza lipo hacked
Now nimehamia huku
e814746fbf555b4d0f603432af983e3a.jpg
Hebu leta trick mkuu Za kuhack game zilizo online kama hilo mkuu..pia naomba link ya hilo game la gunship battle simu yangu ipo rooted
 
Hebu leta trick mkuu Za kuhack game zilizo online kama hilo mkuu..pia naomba link ya hilo game la gunship battle simu yangu ipo rooted
Online game kuhack ni ngumu mkuu ni chache sana zinakubalii.ngoja nikutafutie ile link ipo hukuhuku tech kuna link ya hiyo gemu niliituma nadhani hiyo threads inahusu mambo ya gemu katika android
 
Nakumbuka kuna sehemu nimewahi kupitia wanaeleza kuwa VPN ukiwa nazo unaweza pata internet bure sikuelewa. Ila nidownload nikaweka ktk cm yangu nikaona sielewi nikatoa kwenye cm yangu. Hebu kama unajua hapo kwenye internet bure nipe elim kidogo.
Ni kwelii mkuu zamani ilikuwa kuna vpn kama troidvpn zilikuwa zina function kwa baadhi ya mitandao.nilitumia sana internet ya bure kipindi hicho ila kwa sasa hakuna naona hakuna matundu ya bureeee.
 
Naomba app ya kuhamisha vitu kutoka kutoka kwenye simu kupeleka kwenye Memory card maana simu yangu inajaa Sana na siwezi hamisha storage.
download google photo ipo playstore,unachofanya ni kuzi upload picha na video huko hazioni na mtu,zaidi yako mwenyewe,alafu unazifuta hizo picha na videos kwenye simu yako,picha zina baki.na ukubwa wake ule ule,tumia hiyo ni njia nzuri sana
 
Back
Top Bottom