Monasha
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 561
- 422
Mi simu yangu iko rooted sasa sina uhakika kama itakubali ama kukataa kwenye not rooted phonesMbona wananiambia ili kutumia hadi ni root simu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi simu yangu iko rooted sasa sina uhakika kama itakubali ama kukataa kwenye not rooted phonesMbona wananiambia ili kutumia hadi ni root simu?
Uzinzi mbaya sanaMkuu naomba application ya kublock SMS yani nataka huyo mtu akinitumia nisipate kabisa
Senator jr, nimeweza kudownload mobdro lakini inagoma ku install. Ninatumia simu Halotel H8501. Msaada mkuuWakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Mkuu simu yako android version ganiSenator jr, nimeweza kudownload mobdro lakini inagoma ku install. Ninatumia simu Halotel H8501. Msaada mkuu
Ni Android 4.4.2Mkuu simu yako android version gani
Mkuu mbna inasaport tu vizuri.. Ckia fanya hivi Make sure una UNISTAL hiyo program kwenye androidvyako kisha Allow simu yako kusoma 3g na kuendelea ckia hapa lazma kama cmu network haiko 3g itakusumbua sana .. Turudi INSTAL program yako upya .. EnjoyNi Android 4.4.2
Ok. Nitakupa mrejeshoMkuu mbna inasaport tu vizuri.. Ckia fanya hivi Make sure una UNISTAL hiyo program kwenye androidvyako kisha Allow simu yako kusoma 3g na kuendelea ckia hapa lazma kama cmu network haiko 3g itakusumbua sana .. Turudi INSTAL program yako upya .. Enjoy
Ok. Nitakupa mrejesho
Imekubali mkuu!Ok. Nitakupa mrejesho
Hahahaaa, apps nzuri ni kumwambia tu asikutumie msg.Mkuu naomba application ya kublock SMS yani nataka huyo mtu akinitumia nisipate kabisa
Mkuu hata nikamuambia still anatuma tu.Hahahaaa, apps nzuri ni kumwambia tu asikutumie msg.
Ingia hapa kwa playstoreMkuu hata nikamuambia still anatuma tu.
Mobdro Ipo Na Chanel Ya W.W.EMwenye apps ya kuangalia WWE a.k.a mieleka naomba munisaidie naitafuta sana .
Na hivi .Habari za muda huu wakuu!
Mimi ookla speed test yangu inaonesha kama inavoonekana kwenye picha apo.
Naomba wajuzi mnisaidie kutafasiri hayo majibu kitalaam.
Ahsanten!
![]()