Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hiyo mobi kora uzuri wake inakuonesha ratiba ya mechi za ligi zote na zitaoneshwa saa ngapi, na chanel gani, ipo vzr tatizo ni lugha tu.
Kma Swala Ni Ratiba Na Mechi Gani, Nina Fotmob Nina Soccer24. Sijaipenda Kuanzia Kila Kitu Nje Ndan N.k Kuhusu Lugha, Yah Sijui Kiarabu Mimi.
 
Naomba ushauri nataka kuroor Samsung J1ace
Mcheki kcamp kuna app alishauri wanajukwaa waitumie kwa simu za samsung. App nimeisahau jina ila wengi wana ROOT simu kwa kingroot v 4.8.0 google utaipata.
 
Wakuu naomba mwenye link ya hii app ya VideoFX Music Video Maker Pro Apk V2.3.7 naomba anisaidie tafadhali, ambayo niko NAyO ni limited version so kuna baadhi ya fx zipo locked until niwe na pro version.
 
Tumia aptoide app kupata hizo pro. Zipo free kwenye aptoide.
Aptoide inapatikana google haipo playstore.
 
Kuna game linautwa TruckSimulation 16 kama Kuna mwenye link ya full package anisaidie.
 
Back
Top Bottom