Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

please kwa anayejua mpira wa dakika 90 ni MB ngapi zinatakiwa kwa mtandao wa halotel?
 
[4/15, 16:08] sir.mziray: HABARI NJEMA!!!
Unaweza kutumia account mbili za WhatsApp kwa wakati mmoja (namba mbili tofaut) ktk simu yako ya android.

Ni rahisi kama ifuatavyo:

Ukigusa kiungo (link) ifuatayo itakuletea uchague browser ya kuifungua.

Ukifungua link hiyo kwa browser yeyote bonyeza neno "pakua" kusha download...

Baada ya kudownload select Open kisha install. (Hakikisha ktk setting yako umeweka alama ya vema ([emoji818]) ktk install from unknown source.

Ukifanikiwa usisahau kusema chochote kwa;

Mziray mwl.
[4/15, 16:09] sir.mziray: Google Drive - Virus scan warning
Whatsapp
 
Wapendwa anauliza ,, kuroot simu ni nn? Ina faida gan
 
Back
Top Bottom