Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Jaman mie naomben ushaur.... Sim yangu ya tecno j7 inasumbua sana kwenye kucharg... Badala ya kujaa wakat nacharg yenyewe inanyonya hadi inafikia hatua ya kushundwa kuwaka... Nishanunua charg hadi nimechoka sijaona mabadiliko. Ushaur wenu tafadhali
Hiyo ni chager yko... Badilisha
 
Mkuu naomba msaada wa apps nzuri ya fonts kwenye simu ya TECNO C9...nimeroot ila nikidownlod ifont kwenye playstore niki badili ina change kwenye browser tu ila kwenye kichwa cha simu aibadiliki...
Umefanyaje kuroot?, mimi inashindikana,
 
natumia Google earth kwa ajili ya kuangalia maeneo /ramani ya sehemu Fulani je kuna app nyngne nzur zaid naweza kuona majengo ya hiyo sehem
 
Hivi Kuna App Ya Kuzuia Matangazo Ya Kwenye Simu Inafanya Kazi Bila Root??
 
Back
Top Bottom