Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Naitumia hiyo Launcher kitambo sana, tangu zama za TECNO N3 mpk sasa nipo kwenye BOOM J8.Tumia TFS LAUNCHER... ipo play store na ni bure kabisa... ni 3D na utaipenda.
Naipenda sana hiyo launcher na ipo vzr sana kwa upande wangu.