Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nilitumia ifont kubadili font style kwenye sim naitaji kurudisha font ya zamani sasa nashindwa kuludisha ile ya zamani nifanyeje sasa wakuu anaejua naomba anijuze jinsi ya kuludisha
kuludisha cjui ila kama ni kurudisha futa hiyo app uliyoiweka
 
Naitumia hiyo Launcher kitambo sana, tangu zama za TECNO N3 mpk sasa nipo kwenye BOOM J8.
Naipenda sana hiyo launcher na ipo vzr sana kwa upande wangu.
Jaman pia iko solo launcher mayo nzur xaanaa Niko nayoo toka kipindi cha Itel 1452
 
Hivi Jamani, Ukiiremove Playstore Na Playservic Katika Simu, Nikawa Na Store Ingine Ya Kudownlod App Kutakua Na Tatzo Looote Kwenye Simu?
 
Hiv kwenye mobdro channel ya hustler na playboy zimetolewa au?
 
Back
Top Bottom