Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Shida ni kwamba wameibuka watu ukiangalia hata umember wao ni wajuzi juzi tu lakini anakuja nahoja amefungua group WhatsApp hivyo watu wa hamie huko kwaajili ya kuendeleza mada iliyo anzishwa hapa,Sasa kwa swala hilo la ku search sijui huko WhatsApp ukiwa new member uta search wapi.
Na unakuta mada chanzo chake ni hapa home of great thinkers.
Nilitaka niliongelee na hilo la kuanzisha group whatsapp, kwa mambo yakujuzana uelewa magroup ya watsap wala hayana msaada, kama mtu ni mvivu hatoweza kwenda sambamba na maendeleo ya kitechnology. Kwanza uwe na kitu kichwani ili dhana ya kushirikishana iwe dhahiri, ila kama ni wakutaka kufundishwa tuu, wengine watapata nini kutoka kwako. Sa kaka tukomae kuwaelewesha coz haiingii akilini tangu uzi uanze mtu anakuja kuulizia namana ya kuroot ambayo majibu yake unaweza kumtolea hapahapa ktk comment nyingine za mwanzo.
Wa huu uzi...... Au ndio tuamini palipo wanne mmoja.......
 
Nilihoji hilo swala nikaambiwa mimi ndio nataka kuuwa hii thread, wakati mtu mada amekuja ameikuta na ataondoka ata rudi still mada ataikuta.
Ila inaoneka group la whatsapp ni bora zaidi.
Mimi nimelifikiria hili katika mitazamo miwili kwanza muanzisha group ana agenda yake binafsi yani ana maslahi binafsi kwa kuanzisha hilo group.
Pili, ulimbukeni maana jambo likiwa geni mtu huwa na kiherehere anataka aone tu yupo kwenye ma group hata ishirini basi anajihisi na yeye anakwenda na wakati.
 
KWA MASUALA YA DOCUMENTATION, NATUMIA WPS NA CAMSCANNER,

SPORTS, LIVESCORE, NA GOAL

MUSIC NINA POWERAMP NA JET AUDIO

VIDEO NINA MIXPLAYER NA AK PLAYER

VIDEO DOWNLOADING NATUMIA VIDEODER NA STREAMING NATUMIA MOBDRO

KUTUMIA APPS ZA KULIPIA BURE NATUMIA LUCKY PATCHER NA FREEDOM

KWA APPEARANCE NA MADOIDO MENGINE NATUMIA ARROW LAUNCHER,
AP 15 LAUNCHER (MY BEST LAUNCHER)

APPS STORE ZANGU NI BLACKMART, APTODE, UP2DOWN HUMO APPS ZOTE ZINAZOPATIKANA PLAYSTORE NAZIPATA BURE KABISA.

KU BROWSE NATUMIA UCBROWSER ONLY, SIJAKUTANA NA KAMA HYO KWA UPANDE WANGU.

NABROWSE DEEP WEB KWA MCHANGANYIKO WA ORWALL, ORBORT, ORFOX.

NIMEROOTBDEVICE YANGU SO NATUMIA KARIBIABTOOLS ZOTE MUHIM KWABROOTED DEVICE KAMA VILE, EXPOSSED INSTALLER, ROM TOOLBOX, ROM MANAGER, SYSTEMBREMOVER APPS NK.

KARIBUNI TUBADILISHANEBMAUELEWA.

KWABUSIKU HUWA NATUMIA NIGHT SCREEN,

Mkuu ushawahi tumia TSF launcher?? Ipi ina madoido zaidi? Mi naona kama TSF labda kama hyo arrow mi sijaijulia vizuri
 
MOBDRO ni app ya kuangalia TV.. (iptv)
Kwa Kutumia simu yako..
Ni app ambayo haipo Playstore..

Faida..
Ni kwamba unaweza kuangalia lots of Channel's zaidi ya channels 100.

Hasara..
Inakula sanaa mb kama YouTube.

Kazi kwako.
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
Sorry hivi hii mobdro naweza kuiweka kwenye laptop nkaitumia kuangalia izo Tv kupitia laptop....?
 
Nimejaribu hizo kodi kwenye TECNO Y3 hazikubali, kuna mbadala wake??
 
Sorry hivi hii mobdro naweza kuiweka kwenye laptop nkaitumia kuangalia izo Tv kupitia laptop....?
Ndio inawezekana ila hiyo laptop intall Phoenix OS. (Mfumo wa android kwaajili ya pc)
Kisha install app za android kama hiyo mobdro na zingine.
I.e hiyo os haina playstore.
 
Kwa anaejua tuzo za mtv zinaoneshwa channel gan kwenye hii appl ya mobdro
 
Mkuu ushawahi tumia TSF launcher?? Ipi ina madoido zaidi? Mi naona kama TSF labda kama hyo arrow mi sijaijulia vizuri
Huwa ninakawaida ya kujaribu apps mbalimbali, labda niseme kwanini TSF nimeshaijaribu na nimeiona ilivyo, ni nzuri na inaoption nyingi tuu za kuiongezea uzuri zaidi kama themes nk. Ok kwa hzo luncher nipendazo kuzitumia, ni kwa sababu...
ARROW.. Hii inanirahisishia a lot of thing in one place. Kwanza bila kutumia caller or phone apps kwa launcher hii naweza kupata call records zangu, si hvyo tuu bila kuwa na apps yoyote ya office document, naweza soma pdf na word kupitia online 365 office inayopatikana humu humu, naweza pitia vitu nilivyotoka kuvifanya yaani lisent iwe niliangalia movie picha niliwasiliana nk vyote vinapatikana hapahapa, wallpaper unaweza kutumia za online zinazojibadirisha kila muda inapotoka na huwa hazijirudii... Yote kwa yote hata nafasi yake ni ndogo ktk device, na ni ya bure, inacombination za screen lock ya Next lock. Hii ni didhaa ya microsoft.
Ukija kwa ap15 kwanza haifikishi hata mb 1, anabadirisha apps zote kuwa kwa maneno bila picha na unaweza kucustomize text format coller hata kubadirisha jina la apps liwe unavyotaka wewe. Ni nyepesi na haitumii chaji sana.

Jaribu kuzijaribu utatoa ushuhuda.
 
Inavutia...Ngoja Niijaribu!!
 
Ila Aiwez Kupunguza Ukubwa Wa Muonekano Wa Logo Ya App Kama Nova Launcher
 
Iko hv ndg yangu, ktk nyanja za apps usithubutu kuandika kitu kama hicho..... Kama lengo ni logo za appsbkuwa ndogo sibkitu kigeni. Kama ulitaka logo ziwe ndogo hata ukitumia built in launcher utaweza wala sio lazima nova, ila kilichopo kwa nova ni apps zaidi ya moja ktk apps moja, yaani luncher na ya icon changer ambapo unaweza kupata ya icon changer peke yake tena sio kuwa ndogo tuu naweza hata kuweka apps zangu zote zionekane sehemu moja tuu ya mwanzo ktk kuncher tena zikiwa nyingi nyingine utashindwa hata kutach kwa jinsi inavyokuwa ndogo. So hii ni kweli haiwezi kubadili logo kuwa ndogo ila nikitaka logo ziwe ndogo naweza na huku nikitumia launcher yoyote ile. Jaribu kutafuta apps yoyote yenye kudeal na kitu inaitwa DPI then utanielewa, au tafuta apps zinazodili na icon changer. Ukitaka kujua ubora wa kitu na kitu tumia vyote kwanza.. NB hatubishani ila tunaeleweshana mana kati yetu hakuna anayejua sana.
 
Back
Top Bottom