NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Nilitaka niliongelee na hilo la kuanzisha group whatsapp, kwa mambo yakujuzana uelewa magroup ya watsap wala hayana msaada, kama mtu ni mvivu hatoweza kwenda sambamba na maendeleo ya kitechnology. Kwanza uwe na kitu kichwani ili dhana ya kushirikishana iwe dhahiri, ila kama ni wakutaka kufundishwa tuu, wengine watapata nini kutoka kwako. Sa kaka tukomae kuwaelewesha coz haiingii akilini tangu uzi uanze mtu anakuja kuulizia namana ya kuroot ambayo majibu yake unaweza kumtolea hapahapa ktk comment nyingine za mwanzo.Shida ni kwamba wameibuka watu ukiangalia hata umember wao ni wajuzi juzi tu lakini anakuja nahoja amefungua group WhatsApp hivyo watu wa hamie huko kwaajili ya kuendeleza mada iliyo anzishwa hapa,Sasa kwa swala hilo la ku search sijui huko WhatsApp ukiwa new member uta search wapi.
Na unakuta mada chanzo chake ni hapa home of great thinkers.
Wa huu uzi...... Au ndio tuamini palipo wanne mmoja.......