Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anko kuna watu wanakichwa ngumu balaa, na wanao weka manamba namba yao wananikera acha tuKwanini haya masuala ya kuroot watu wasiutafute ule Uzi wenye kuelezea suala hilo? Ili kupunguza kurudia maswali yaleyale kila mara.
Mkuu Nimeipenda Picha yako Hapo Kwenye Profile yako.Tumechoka na mambo ya kuroot
Ebu nielekeze jinsi ya kupata hii font mkuu
Mkuu simply ingia google search ifont apkEbu nielekeze jinsi ya kupata hii font mkuu
![]()
Km hiyo uliyotumia hapo inaitwaje?Mkuu simply ingia google search ifont apk
Pia hakikisha simu yako ipo rooted.Km hiyo uliyotumia hapo inaitwaje?
Ooooh hance hii yangu sija-root badoPia hakikisha simu yako ipo rooted.
tumia HiFONT kama bado huja'root simu yako,ipo playstore mkuuOoooh hance hii yangu sija-root bado
Nipe direction bas
NBA 2k13 kwangu mimi ni game nzuri na inanipa goodtime though iko outdated kidogo as kuna 2k17 huko japo sina hakika kama wamesharelease kwenye platform ya android OS. Ni game nzuri, hususani kwa wapenzi wa kikapu hutojuta kuidownload...Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
Note two model ganWakuu naomba msaada kwa anayeweza kujua wapi naweza kupata flash firmware (android 4.1.2) kwa ajili ya kuflash galaxy note 2. Nimejaribu kudownload kutoka Summobile na websites nyinginezo bila mafanikio.
Mkuu hii app inaitwaje ya kufuta kitu kwa wino kwenye picha au kuizungushia mduara sehemu unayotaka ionekane kwenye picha?Haya kwa wale wapenzi wa insta au 'kiki' pakua hii app inaitwa real followers for instagram ujipatie free followers na likes za kuvente...
View attachment 436888View attachment 436889View attachment 436890View attachment 436891
Mkuu sio app natumia kalamu kwenye note 2 yanguMkuu hii app inaitwaje ya kufuta kitu kwa wino kwenye picha au kuizungushia mduara sehemu unayotaka ionekane kwenye picha?
Kwahiyo lg g3 yangu haiweziMkuu sio app natumia kalamu kwenye note 2 yangu