Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kwanini haya masuala ya kuroot watu wasiutafute ule Uzi wenye kuelezea suala hilo? Ili kupunguza kurudia maswali yaleyale kila mara.
 
  • Thanks
Reactions: M12
kuna mtu amewahi ku update samsung j7 kutoka kwny lollipop kwenda kwnye marshmall ...km yupo naomba anipe matokeo maana mm nataka ni update yangu lkn nahofia naweza kuharibu simu maana kipnd cha nyuma nlipotaka kufny hvo wakanambia kwa tanzania bado hawajaleta ishu ya ku update kwnda kwny marshmall
 
Wadau Nina simu ya flani ya LG ni tach na batani kinacho nisumbua yani INA mambo ya kichana kwa baadhi ya apps ,afu nikidownload whatap INA niambia ni unstall afu ni install tena nishafanya ivo zaidi ya mala 3
 
Ebu nielekeze jinsi ya kupata hii font mkuu

1c5ac39d2397e650b0c37c670b6fc89c.jpg
 
Wakuu naomba msaada kwa anayeweza kujua wapi naweza kupata flash firmware (android 4.1.2) kwa ajili ya kuflash galaxy note 2. Nimejaribu kudownload kutoka Summobile na websites nyinginezo bila mafanikio.
 
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...

Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk
============
NBA 2k13 kwangu mimi ni game nzuri na inanipa goodtime though iko outdated kidogo as kuna 2k17 huko japo sina hakika kama wamesharelease kwenye platform ya android OS. Ni game nzuri, hususani kwa wapenzi wa kikapu hutojuta kuidownload...
1479977309639.png
1479977328280.png
1479977350760.png
1479977367900.png
1479977386551.png
 
Wakuu naomba msaada kwa anayeweza kujua wapi naweza kupata flash firmware (android 4.1.2) kwa ajili ya kuflash galaxy note 2. Nimejaribu kudownload kutoka Summobile na websites nyinginezo bila mafanikio.
Note two model gan
 
Back
Top Bottom