Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ingia playstore search app inaitwa photo editor ina icon ya blue na camera yenye mkasi kwa pembeni utamaliza kila kitu.
Mkuu asante sana. Nimefanikiwa, the best photo editor ever! Ina mambo mengi sana
1480004700865.png
 
Hiyo App ukiijulia vizuri hutojuta, inafanya mambo mengi nje na hayo uliyo yaona.
Nina picha nikikuonesha huwezi amini kama zime editiwa na hiyo App.
Asante mkuu. Nzuri sana, naona ina na feature ya kucreate PDF. Nitaizoea taratibu bila shaka
 
Hiyo App ukiijulia vizuri hutojuta, inafanya mambo mengi nje na hayo uliyo yaona.
Nina picha nikikuonesha huwezi amini kama zime editiwa na hiyo App.
Hii app inaweza kuediti picha mfano kitu inabaki na rangi yake ila background inakuwa nyeusi?
 
Back
Top Bottom