Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nimejaribu ku peruuz page zote ila sijafanikiwa kuona app ya ratiba za match na channel zitakazo onesha live..mobi Kora nime download sijaelewa.. Msaada
 
Nimejaribu ku peruuz page zote ila sijafanikiwa kuona app ya ratiba za match na channel zitakazo onesha live..mobi Kora nime download sijaelewa.. Msaada
Mbona zipo playstore mfano ESPN, GOALSCORERS, Ila hazioneshi ni channel gani itarusha live. Hiyo mobi kora nayo angalia logo ya timu husika ila inaonesha mechi itakuwa live channel gani.
 
Mbona zipo playstore mfano ESPN, GOALSCORERS, Ila hazioneshi ni channel gani itarusha live. Hiyo mobi kora nayo angalia logo ya timu husika ila inaonesha mechi itakuwa live channel gani.
Nahitaji kujua channel ipi inarusha, match natumia goal na iko Poa... Ngoja niifatilie kora... Asante
 
Sio simple kama unavyo dhani
Inataka muda na ubunifu...
Lkn kwa kifupi utakapo ifungua ukaweka picha yako unayotaka kuibadili background pale kwenye Effect angalia neno overlay kisha S halafu image, hapo sasa chagua background unayotaka kisha ok halafu uwe kama una futa picha hivi sehem usizozitaka.
sasa hapa ubunifu unaotakiwa hiyo
1. Pointer yakufutia kuikuza na kuipunguza
2. Ku blur hiyo pointer endapo unakaribia kwenye mwili wa picha yako
3.Kumbuka ku save kila hatua ili ikitokea emergency usianze tena upya.
4. Tumia zoom kufuta sehem za mikunjo na undo endapo umekosea kufuta.
5. Katika finishing cheza na rangi ili kuweka msawazo wa rangi katika picha yako. Waweza tumia app zingine kama camera360 nk

Ukikwa ni pm hiyo picha yako kwa maelekezo zaidi.
Mkuu nimejaribu japo sijaweza kunyoosha
ee34929cf3d542a77b91acd934580806.jpg
 
Haiya haiya. Tumejikuta tunaeleweshana zaidi jinsi ya kutumia Apps kuliko kujulishana Apps nzuri kulingana na tunavyotumia.

Ok binafsi nimekutana na App ya kuitwa FX file manager, ni nzuri kwa wadau wakuzijua Apps mtaijaribu.
Inaoption nyingi sana za kulifanya file vile unataka, inanplayer ndani ya sound na video, ina text editor, kwa wale wakuroot ina hadi axccessing ya system folder, NB ni in-apps purchased.. So unaweza kutumia apps ya freedom au lucky patcher kuihalalisha.
 
Jaribu hii mkuu inaitwa Ex File Explorer Nimeona hii inawatumiaji mara kumi ya hiyo yako so cheki features zake
ES File Explorer File Manager - Android Apps on Google Play
 
Back
Top Bottom