Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mimi kwakweli kuhusu kuedit picha napendelea sana BEFUNKY sijui kwakuwa haina mambo mengi?
68df457e865901c1b57722090b4cb034.jpg
 
Hii inasaidia kukuza mtaji wako mara kumi

Jamani inaitwa roehsoft ram expander narudia ram expander ili nieleweke kwa mara ya tatu RAM EXPANDER[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fafanua kuhusu msisitizo wako,so ili wanachama tukuelewe.
 
Its a joke
Learn to take a joke
Kazi ya hiyo app ni kuongeza ukubwa wa ram yako kwa kupartition sehemu ya micro sd yako kutumika Kama ram pale inapohitajika

Kwa mfano sim yako ina ram ya 256 mb na unataka u multitask kati ya app tatu au zaidi au unataka kucheza ram intensive game kwa ram ya 256mb ni karibu sawa na haiwezekani ila kama una root acces na sd card na hiyo app utapartition sehem ya memory card iwe ram ila hautaweza kuifanyia kitu chochote hiyo partition zaidi ya kutumika kama ram unaweza kuexpand mpaka 4gb(max)
 
Umetisha sana mkuu hiki ndo kitu nnachofikiria kuwa nacho, Asante!
 
Its a joke
Learn to take a joke
Kazi ya hiyo app ni kuongeza ukubwa wa ram yako kwa kupartition sehemu ya micro sd yako kutumika Kama ram pale inapohitajika

Kwa mfano sim yako ina ram ya 256 mb na unataka u multitask kati ya app tatu au zaidi au unataka kucheza ram intensive game kwa ram ya 256mb ni karibu sawa na haiwezekani ila kama una root acces na sd card na hiyo app utapartition sehem ya memory card iwe ram ila hautaweza kuifanyia kitu chochote hiyo partition zaidi ya kutumika kama ram unaweza kuexpand mpaka 4gb(max)
Mimi natumia app ya swapper kufanya hayo yote
 
Mgaya nimerudi tena mkuu humu ndani, bega kwa bega kuanzia sasa tupo pamoja sana, kule pia usitususe jokes forum
Hahhaaha [emoji106] mkuu, tatizo la kule ukiingia hutamani kutoka[emoji23] [emoji23]
nipo busy kidogo kipindi hiki nahofia kutumbuliwa mkuu,
Ila mpe hi sakayo nitapita nikiwa free
 
Back
Top Bottom