Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna Hii inaitwa Muvika Online™ Kwaajili ya Kupakua Season za Korean, Taiwanese , Bollywood na Movies bure season hizo zipo za aina 2 (Zilizotafasiliwa na Ambazo hazijatafasiliwa) Unaweza Download App hiyo Hapa ==>> Download Muvika Online App
 
Kwenye sehem ya recycle bin mule mule kwenye kingroot pia uliifuta?
 
Ni application gani ya kuplay video songs kwenye sim zijiselect zenyewe kama music player zinavyofanya.
Msaada mkoroshini
 
Simu yangu nimefuta play store kwa kutumia kingroot,naombeni msaada namna ya kuirudisha

Maana ninazodownload kupitia google znakataa kufanya kazi

Hata mi ilinitokea majuzi cha kufanya ingia Google alafu Download playstore apk(hakikisha iwe ya LATEST VERSION) alafu kama una LUCKS PATCHER (kwa walio ROOTED) ingia na ifanye kama system app,alafu restore simu yako itarejea.kwangu nilitumia njia hii na Nikafanikiwa.
Simu yangu nimefuta play store kwa kutumia kingroot,naombeni msaada namna ya kuirudisha

Maana ninazodownload kupitia google znakataa kufanya kazi
 
Back
Top Bottom