The Verteller
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 182
- 269
Naomba kufahamu app inayeweza kubadirisha conv (text) za watsapp katika mfumo wa pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Required...Naomba unijuze steps ulizopita ukafanikiwa. Mm nilijarbu kwa pc nikitumia kingoroot, nkashindwa.
yesUnamaanisha nifanye factory reset????
android version gani!!??Wakuu hata Mimi Masada wa kuroot techno phantom 6+ nimetumia king root imegoma
android version gani!!??Naomba mwenye utaalam wakuroot sim,yangu ni Tecno C9s.Nimejaribu njia zote nimechemka
jaribu kingroot app au kingiroot app unaweza kuzigoogle then unainstall kisha unafuata maelekezoHelp nahitaji kuroot sony xperia z1 sijui nani wakunisaidia
hapa sina link ila Google GB whatsapp latest apk itakuja ya version 5.3.0 then unadownload kisha unaistall kama whatsapp ya kawaida tu.Wakuu naomba link ya gb whatsapp na maelekezo jinsi ya ku install
inawezekana ungetaja aina na model watu wakusaidie na pia zimekuwa locked kwenye mtandao gani wa simuHabari wakuu
Msaada, kuna baadhi ya simu(smart phone) ambazo zimefanywa kutumia aina moja ya laini kwenye sim1
Kuna njia yeyote ya rahisi kuondoa hilo
hivi mna root simu ili iweje na mpate nini???Msaada
nitumue softwere gani ku root huawei p9
Ingependeza kama ungetupia na link yake kabisa nimejaribu king rooted imegoma ina fika asilimia kadhaa inagoma
thread nyingi wameelezea kuroot simu ila mimi naona hii ndo imeelezea freshhivi mna root simu ili iweje na mpate nini???
Chief-Mkwawa msaada wako hapaSorry hv kama nkitaka niinstall GTA5 kwenye PC inabd pc yang iwe na icore ya ngap na RAM ngap na graphc yake iweje
hizi hapaChief-Mkwawa msaada wako hapa