Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

wakuu kuna app inaitwa "SaveFrom" kwa wale wanaopenda kudownload videos za YouTube tena kwa quality unayopenda hii app ipo bomba san.Playstore haipo isachi google website
Jinsi ya kuitumia baada ya kui download
1.Ingia YouTube
2.Search video yako
3.Click kitufe cha ku share
4.Uta icagua yenyewe "SaveFrom"
5.Itakupeleka kwenye quality Option
6.Chagual quality yako labda ni Mp4 Mv 3gp na mp3 ila hii kwangu inagoma kuplay
7.Download your video
*Ipo simple kuitumia kwa yoyote yul haina presses nyingi czana kama hizi saba zina fika*
Nawasilika wakuu
 
Mwenye kujua app nyingine inayokaribia kufanana na mobdro naomba ashee maana mobdro kwangu haifunguki
 
Ipo updated tayari, umekutana na tatizo gani mkuu?!
Hutokea haya pindi unapo click group ili u join
Screenshot_20181017-151412_1.jpeg
Screenshot_20181017-151359_1.jpeg
 
Napenda niroot cm yangu ya tecno k9.ila Nashindwa. Msaaada wa kuweza kuroot. Natashukuru
 
Back
Top Bottom