Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nahtaji movie za katoon kama akina puss in boot, over the hedge, panda, mr.rango etc. Kama unazo nchek ntachangia hela ya bando
Hizi kuna njia mbili:
1. kama unataka kutazama kwa mda : Netix naweza kukunganisha ukapata hii huduma.
2.Kama unataka kua nazo "copy" pia naweza kukupatia.

Nitumie namba ya WhatsApp Dm.
 
Nipe link mkuu nw ndio nishadownload
download hii hapa

Orfox: Tor Browser for Android – Програми Android у Google Play
na hii hapa

Orbot: Proxy with Tor – Програми Android у Google Play

kisha open hiyo orbot 😛roxy with tor kisha connect ikishaconnect bofya browse kisha itakupeleka kwenye tor browser sasa huko ndo utaweka hizo onion link

Nipe link mkuu nw ndio nishadownload
Chief unashauriwa usiweke personal details zozote, maana inakuwa rahisi kwa mafundi wa huko dark web ku-kutrack na kuiba details zako kwa ajili ya matumizi yao...
 
Toa ufafanuz how?
Ukiingia videoder kuna option ya kuingiza link.
Copy link ya video uliyoipenda kutoka kwny web/social media.
Paste videoder, click search
Videoder itakupa download options
Chagua format (mp4) na ubora unaotaka.
Download and enjoy.
 
Download app inaitwa 'Bittorent Pro' , search kwenye Google usiende Playstore maana kule Pro inauzwa lakini uki search kwenye Google unaipata Bittorent Pro bure kabisa. Baada ya ku install hiyo app nenda kwa website hii YIFY Movies Torrent Download - YTS Baada ya hapo uta download movies kwa kubonyeza alama ya sumaku (Magnet link) na zitaenda moja kwenye 'bittorent' kumaliza hatua za ku download
Hii inanihusu kabisa
 
Tumia simu yako kwa faida kila unapotumia data unalipwa ni kweli na sio uongo. Unachotakiwa kufanya ni kudownload hii app inaitwa honeybees. Link hii hapa Honeygain - Make Money From Home. Baada ya hapo sign up utalipwa kutokana na unavyotumia data yako.
 
Screenshot yako tuone.......sio tumalize mb zetu bure tu
Hizo hapoView attachment 2118473View attachment 2118472
IMG-20220210-WA0002.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom