Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Uzuri wake uko wapi?... tupe dodoso kidogoIpo hiyo inaitwa 'Drupe dialer' ni nzuri sana, lakini kutokana na Android terms kurekodi voices wakati wa call wamezuwia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wake uko wapi?... tupe dodoso kidogoIpo hiyo inaitwa 'Drupe dialer' ni nzuri sana, lakini kutokana na Android terms kurekodi voices wakati wa call wamezuwia
Ingia Instagram tafuta PENTAGON STORE wanazoNatamani sana kupata camera kali, professional camera kwa Ajili ya report zangu. Kwa mfano. Nikipiga picha Ile picha niweze kuandika ni wapi nilipiga, mfano, Kinyerezi Dar es Salaam. Na nahitaji pia color popup
Hizi kuna njia mbili:Nahtaji movie za katoon kama akina puss in boot, over the hedge, panda, mr.rango etc. Kama unazo nchek ntachangia hela ya bando
Yes, inapiga kazi fresh tu.Hivi app ya luckypatcher inafanya kazi kwenye simu ambayo sio rooted
Cheki website ya KissCartoon, utazipata humoNahtaji movie za katoon kama akina puss in boot, over the hedge, panda, mr.rango etc. Kama unazo nchek ntachangia hela ya bando
Nipe link mkuu nw ndio nishadownload
download hii hapa
Orfox: Tor Browser for Android – Програми Android у Google Play
na hii hapa
Orbot: Proxy with Tor – Програми Android у Google Play
kisha open hiyo orbot 😛roxy with tor kisha connect ikishaconnect bofya browse kisha itakupeleka kwenye tor browser sasa huko ndo utaweka hizo onion link
Chief unashauriwa usiweke personal details zozote, maana inakuwa rahisi kwa mafundi wa huko dark web ku-kutrack na kuiba details zako kwa ajili ya matumizi yao...Nipe link mkuu nw ndio nishadownload
waweza fanya hivyoMkuu naweza install aptoide kama sijaroot simu kama ndio nipe link niipakue nizid enjoy maisha
Ukiingia videoder kuna option ya kuingiza link.Toa ufafanuz how?
BoomplayApp ya kudownload miziki je
NdoniniAnayehitaji Azam Max cracked anicheki pm
Hii inanihusu kabisaDownload app inaitwa 'Bittorent Pro' , search kwenye Google usiende Playstore maana kule Pro inauzwa lakini uki search kwenye Google unaipata Bittorent Pro bure kabisa. Baada ya ku install hiyo app nenda kwa website hii YIFY Movies Torrent Download - YTS Baada ya hapo uta download movies kwa kubonyeza alama ya sumaku (Magnet link) na zitaenda moja kwenye 'bittorent' kumaliza hatua za ku download
Umefunga pmWazee wa Azam Max cracked na Dstv cracked nichekini Pm
Screenshot yako tuone.......sio tumalize mb zetu bure tuTumia simu yako kwa faida kila unapotumia data unalipwa ni kweli na sio uongo. Unachotakiwa kufanya ni kudownload hii app inaitwa honeybees. Link hii hapa Honeygain - Make Money From Home. Baada ya hapo sign up utalipwa kutokana na unavyotumia data yako.
Hizo hapoView attachment 2118473View attachment 2118472Screenshot yako tuone.......sio tumalize mb zetu bure tu