Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Screenshot yako tuone.......sio tumalize mb zetu bure tu
Hizo hapo
Screenshot_20220213-155521.jpg
View attachment 2118477

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Shusha nondo za kutosha tukapakue

Vp hela unatoa kwa njia ipi na mpk ifike kiwango kipi au chochote ?
Unatoa kwa paypal ila ukiweka hii app unaweza kuweka ela zako metamask na ukawa una trade kwa hizi hizi hela zako ila unatakiwa kufikisha dollar 20 ziweze kwenda metamask.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Shusha nondo za kutosha tukapakue

Vp hela unatoa kwa njia ipi na mpk ifike kiwango kipi au chochote ?
Mkuu ntashusha badae jioni. Ni app ambayo ukiweka kwenye simu yako unavyotumia internet kustream vitu au unavyokuwa online mda wote kuna kiasi unapewa kwenye account yako. Ukiwa mjanja ukiweza kuingiza dollar moja per day bas kila siku ishirini utakuwa unatoa dollar 20.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hizi kuna njia mbili:
1. kama unataka kutazama kwa mda : Netix naweza kukunganisha ukapata hii huduma.
2.Kama unataka kua nazo "copy" pia naweza kukupatia.

Nitumie namba ya WhatsApp Dm.
Asante mkuu, sorry kwa kuchelewa kujibu. Hii app ya Jamii forum haionesh notification kwa hyo hii comment ndo naiona leo. Nimekutumia namba PM
 
WPS  apk pic.jpg


* Kwangu nikitaka app za simu bila kutumia googleplay ambayo inahitaji akaunti ya email kabla ya chochote huwa na google 'jina la app'.apk ... unapata app ya ku download moja kwa moja chap bila kupitia googleplay

Hii app ina faida kwa mwanafunzi, mwanachuo, mfanyakazi wa ofisini kwa sababu, na yeyote anaetumia
  • Inaendana na Microsoft Office - Kwa mfano, kiuhalisia ni wanafunzi ama wanachuo wachache wanamiliki pc ama laptop, lakini wengi wana smartphone. Kwa hiyo, unashughulukia kazi ya WORD ama EXCEL shuleni ama chuoni una kiporo. Una copy hiyo kazi unaingiza kwenye simu kisha unaifungua na hii app, unamalizia kazi yako kitandani, una-save. Kesho shuleni una upload kazi ulio save - sasa ukifungua tena na WORD ukafungua kazi yako uliomalizia kitandani itakuja kama ulivoi save na format zitakuwa poa... Ama unaunganisha simu ku print pale stationary unaenda na homework done shuleni.
  • Hii app inasoma PDF hata ku-edit PDF... siku hizi fomu nyingi rasmi ama za kiserikali zinatumia mfumo wa PDF.
  • Hii app pia ina scan na unaweza ku save ulicho scan kama WORD, PDF ama mifumo mingine kama picha JPEG nk
  • Hii app nimeitumia mara nyingi kusoma vitabu - vitabu vingi vimo katika mfumo wa PDF na tunajua inafungua - lakini pia inafungua vitabu vya mfumo wa ePUB nahisi na mifumo mingine pia na inakupa uwezo wa kusoma kitabu kama kurasa na pia kukuza herufi.
Hii app ina vitu vingine sijavijaribu bado... ila kwa kweli ina kila kitu na zaidi kuhusiana na document. Yaani imeunganisha Microsoft Office + PDF + eREADER + ...
 
Mkuu ntashusha badae jioni. Ni app ambayo ukiweka kwenye simu yako unavyotumia internet kustream vitu au unavyokuwa online mda wote kuna kiasi unapewa kwenye account yako. Ukiwa mjanja ukiweza kuingiza dollar moja per day bas kila siku ishirini utakuwa unatoa dollar 20.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hiyo pesa inaingia kwenye nini, simu namba, bank account au wapi?
 
2ef3b9429d1c596feb3a1d2a246204b0.jpg



WiFi MAP

Hii app inapatikana Playstore..
Ni nzuri sana..

Inaonyesha wireless zilizo near or far na wewe.. Na kama ina password inaonyesha na password ya hiyo Wireless...

Note.. : sio wireless zote zinaonekana kwenye hapa....

Mfano nili try hii ya unaweza kuona hapa chini.

4240aefa78fb37ead37edfe4455862b4.jpg

Ya chuo kimoja hapa mjini.
It's very good App..


Note: do at ur own risk..
Msaada wa link
 
Back
Top Bottom