Kop0
Member
- Oct 6, 2021
- 76
- 111
Hizo hapoScreenshot yako tuone.......sio tumalize mb zetu bure tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hapoScreenshot yako tuone.......sio tumalize mb zetu bure tu
Inatumia muda gani kupata hizo Fedha Mkuu.Tumia simu yako kwa faida kila unapotumia data unalipwa ni kweli na sio uongo. Unachotakiwa kufanya ni kudownload hii app inaitwa honeybees. Link hii hapa Honeygain - Make Money From Home. Baada ya hapo sign up utalipwa kutokana na unavyotumia data yako.
Shusha nondo za kutosha tukapakueHizo hapoView attachment 2118473View attachment 2118472View attachment 2118474
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Chukua mkaliHii inanihusu kabisa
Uzuri wake uko wapi?... tupe dodoso kidogo
Mkuu jitiada yako tu na unavyotumia internet kwenye simu yako. Ila ni mwezi na kuendelea kuchukua hizi point. Ila ukiwa na refferral kama 1000 hivi hata siku kumi nyingi unatengeneza dollar 20Inatumia muda gani kupata hizo Fedha Mkuu.
Em toa Ufafanuzi wakutosha
Unatoa kwa paypal ila ukiweka hii app unaweza kuweka ela zako metamask na ukawa una trade kwa hizi hizi hela zako ila unatakiwa kufikisha dollar 20 ziweze kwenda metamask.Shusha nondo za kutosha tukapakue
Vp hela unatoa kwa njia ipi na mpk ifike kiwango kipi au chochote ?
Mkuu ntashusha badae jioni. Ni app ambayo ukiweka kwenye simu yako unavyotumia internet kustream vitu au unavyokuwa online mda wote kuna kiasi unapewa kwenye account yako. Ukiwa mjanja ukiweza kuingiza dollar moja per day bas kila siku ishirini utakuwa unatoa dollar 20.Shusha nondo za kutosha tukapakue
Vp hela unatoa kwa njia ipi na mpk ifike kiwango kipi au chochote ?
Asante mkuu, sorry kwa kuchelewa kujibu. Hii app ya Jamii forum haionesh notification kwa hyo hii comment ndo naiona leo. Nimekutumia namba PMHizi kuna njia mbili:
1. kama unataka kutazama kwa mda : Netix naweza kukunganisha ukapata hii huduma.
2.Kama unataka kua nazo "copy" pia naweza kukupatia.
Nitumie namba ya WhatsApp Dm.
Tatzo bando mkuu. Nahtaji mtu ambae anazo tayari ashadanlodCheki website ya KissCartoon, utazipata humo
Go Sms ProNatafuta app ya sms inayoweza kuficha baashi ya sms, nilikua natumia app inaiywa psb kwasasa siipati popote, msaada ndoa itavunjika uku
Hiyo pesa inaingia kwenye nini, simu namba, bank account au wapi?Mkuu ntashusha badae jioni. Ni app ambayo ukiweka kwenye simu yako unavyotumia internet kustream vitu au unavyokuwa online mda wote kuna kiasi unapewa kwenye account yako. Ukiwa mjanja ukiweza kuingiza dollar moja per day bas kila siku ishirini utakuwa unatoa dollar 20.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
app ya kudownload move
Msaada wa link![]()
WiFi MAP
Hii app inapatikana Playstore..
Ni nzuri sana..
Inaonyesha wireless zilizo near or far na wewe.. Na kama ina password inaonyesha na password ya hiyo Wireless...
Note.. : sio wireless zote zinaonekana kwenye hapa....
Mfano nili try hii ya unaweza kuona hapa chini.
![]()
Ya chuo kimoja hapa mjini.
It's very good App..
Note: do at ur own risk..
App ya michoro ya ramani za nyumba