Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Wengi watashangaa sana nilichoandika ila kwa analyst wazuri watakubalina nami.Wabara hatujui haya.Wazanzibar kwa ujumla wao hawafanani sana na watanganyika kifikra.Values wanazochare na bara ni kidogo sana.
Kuna Aspect za dini ,na mahusiano ya kibiashara na baadhi ya vitu wazenj wanajifunza bara ndivyo vitufanyavyo tuendelee jion akuwa tupo ktk boat moja.Hao viongozi wa serikali wanaotoka zenj wamjifunza mengi sana kwa miaka mingi sana.Ndio leo tunaojidanganya kuwa tupo pamoja ktk hii safari ya muungano.Hatap hivyo hao jamaa wamejifunza tuu kuishi nasi ila bado ktk uhasilia wana "Wanbanwa na hili koti " ila ndipo ulipo urembo.NI kama kufuata asali huku nyuki wakikundunga mishale.
Hawa viongozi wa kizenj tulio nao hawana msaada ktk kuleta umoja , na wapo very well detached na watu wao kuhusu ukweli wa muungano, na wapo nao pamoja sana ktk kushangaa muungano na maelezo mengine kwanini Zanzibar ni failed Society.
Kwa hali halisi Watu wa bara wana fikra tofauti sana na mitazamo isiyokaribina kabisa kuhusu maisha na maendeleo ya taifa.
Fikra za watanzania ktk makubaliano mengi ya muungano na maendeleo ya Taifa si moja na wenzao wa Zenj hata kama ziliandalia pamoja.Kwani mud awa mipango wazenj wengi hujifunza kufikiri km wabara ila hawapati concept moja nao .Ndio maana wakirudi kwao na kusahihishwa na wenzao (ambao pia walipaswa eleweshwa makubaliano yalifikiwa vipi) basi hawa viongozi huishia jitetea kwa hayo waaminio wazenj.
Ingewezekana wabara wakawapa wazenj hata masaa 5 ya wao kufany amambo yao halafu Bara wakaaangalia basi watu wa bara wasingekaa waweze funga midomo tena kwa kubaki wazi.Na kuendelea kupanga mambo na wawakilishi wao bado kutaendelea washangaza wabara matokeo yanavyokuwa tofauti kwa wenzao kulalamika kwamba walichkubaliana ktk mipango sicho walichokuwa wakitaka.
Kwa ujumla tupo tofauti sana.....na wenzetu wa visiwani....na ziku zinapokwenda bara hawawezi pick up tena na ilipoachwa zenj ichukue njia yake.Zenj ibatabi kuwa visiwa vya "YASIYOTEGEMEWA".