Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ulichoandika unakijua au ulikurupuka tu usingizini? coz ulicho andika ni sawa na hadithi ya bibi na babu! Zanzibar kwanza
Wengi watashangaa sana nilichoandika ila kwa analyst wazuri watakubalina nami.Wabara hatujui haya.Wazanzibar kwa ujumla wao hawafanani sana na watanganyika kifikra.Values wanazochare na bara ni kidogo sana.
Kuna Aspect za dini ,na mahusiano ya kibiashara na baadhi ya vitu wazenj wanajifunza bara ndivyo vitufanyavyo tuendelee jion akuwa tupo ktk boat moja.Hao viongozi wa serikali wanaotoka zenj wamjifunza mengi sana kwa miaka mingi sana.Ndio leo tunaojidanganya kuwa tupo pamoja ktk hii safari ya muungano.Hatap hivyo hao jamaa wamejifunza tuu kuishi nasi ila bado ktk uhasilia wana "Wanbanwa na hili koti " ila ndipo ulipo urembo.NI kama kufuata asali huku nyuki wakikundunga mishale.
Hawa viongozi wa kizenj tulio nao hawana msaada ktk kuleta umoja , na wapo very well detached na watu wao kuhusu ukweli wa muungano, na wapo nao pamoja sana ktk kushangaa muungano na maelezo mengine kwanini Zanzibar ni failed Society.
Kwa hali halisi Watu wa bara wana fikra tofauti sana na mitazamo isiyokaribina kabisa kuhusu maisha na maendeleo ya taifa.
Fikra za watanzania ktk makubaliano mengi ya muungano na maendeleo ya Taifa si moja na wenzao wa Zenj hata kama ziliandalia pamoja.Kwani mud awa mipango wazenj wengi hujifunza kufikiri km wabara ila hawapati concept moja nao .Ndio maana wakirudi kwao na kusahihishwa na wenzao (ambao pia walipaswa eleweshwa makubaliano yalifikiwa vipi) basi hawa viongozi huishia jitetea kwa hayo waaminio wazenj.
Ingewezekana wabara wakawapa wazenj hata masaa 5 ya wao kufany amambo yao halafu Bara wakaaangalia basi watu wa bara wasingekaa waweze funga midomo tena kwa kubaki wazi.Na kuendelea kupanga mambo na wawakilishi wao bado kutaendelea washangaza wabara matokeo yanavyokuwa tofauti kwa wenzao kulalamika kwamba walichkubaliana ktk mipango sicho walichokuwa wakitaka.
Kwa ujumla tupo tofauti sana.....na wenzetu wa visiwani....na ziku zinapokwenda bara hawawezi pick up tena na ilipoachwa zenj ichukue njia yake.Zenj ibatabi kuwa visiwa vya "YASIYOTEGEMEWA".
Zenji ni Kama wapo Huru tofauti na Tz Bara kumbuka ZNZ wana baraza la mawaziri baraza la wakilishi na Hakuna Mwakilishi toka bara ananusa humo Pia wana wimbo wao wa Taifa Bendera Yao vikosi vya SMZ nk yaani Maana yake ni Kwamba cha ZNZ ni cha ZNZ tu lakini cha TZ Bara ni cha wote Wabunge wa Zenji wanaingia Dodoma mjengoni kwenye Vikao vya Bajeti za Wizara ambazo si za Muungano na huchukua posho pasipo kujali chochote huku wizara ya muungano ikipata Bajeti kubwa lakini imeshindwa kuondoa kero za muungano sijui pesa hizo zinafanya nini? Kwa ujumla Zenji ni Wajanja kwa Wabara kwani wanafaidi matunda ya muungano huku wakilalamika kwa kwenda mbele Kumbuka Umeme chakula na Mgao wa Fedha toka Hazina vinatoka Bara lakini huyu Bara hapumui amekaliwa kooni kila Dk lawama za kero za muungano Ukichunguza kiundani Wabunge wa Tz Bara wanatawala Majimbo makubwa huku wabunge wa Zenji wakiwakilisha majimbo yenye Km za mraba ndogo sana matokeo yake ni Kuwa na wabunge wengi ktk eneo dogo huku Eneo kubwa likiwa na wabunge wachache .siku ikitokea Miujiza Zenji ikajitenga ujue Tz Bara itakuwa Tajiri ndani ya mda mfupi sana kwani mgao wa fedha toka Hazina utabaki Bara Umeme na chakula watalipia kwa Dola huku wakitambulika Kama Raia wa Nchi jirani watalipia Viza na Vibali vya kuishi na kufanya kazi Tz Bara .a.k.a Tanganyika ingawa jina hili Tanzania ni jina lenye asili ya Bara na lilitoka Bara hivyo ni jina Bara kule Visiwani jina lake ni Zanzibar na huku Bara ni Tanzania tu kumbuka huku kuna visiwa Kama Mafia ukerewe ukara nk lakini panaitwa Tz bara ki Ukweli Zenji ni wajanja mbele ya Bara Ndio Maana wao ni million 1.5 tu lakini wakaungana na watu million 43 na kuwalalamikia Miaka 50 sasa huku wakifaidi matunda ya muungano
Mtoto tegemezi asieisha kulalamika siku zote si mjanja, na uhai wake huwa mashakani sana mwenzie atakapoondoka kabisa na kwenda nchi ya mbali au kufariki, au kuamua mpatia kila chake huyu mtoto asiyeona kuwa nae anastahili kusimama na kusaidia wengine badala ya kulilia kuogezewa msaada hta kam mwenzie anajinyika kula ili yeye ale.
Labda mfano wakoungekuwa kwa mtoto anayeonewa choyo na kaka yake ambaye anazuia jitihada za mtoto huyo katika maendeleo yake. Huyu kaka anaogopa aibu itakayomkuta iwapo hatokuwa kiwazo kwa mdogo wake. Hivyo kama utakuwa na mtoto utaona fahari awepo nyumbani akisubiri chakula ulichomchagulia au itakuwa fahari kwako kumwachia ajitegemee ili chumo unalochuma ule kwa raha? Hivi sasa ukisikia watu wanakufa kwa njaa basi ni Tanganyika na ukisikia Japani katowa mchele wa msaada basi ni huko. Sasa hii dhana ya kuwashibisha Wazanzibari inatoka wapi?
Tanganyika(Tan-Azania) wameshikwa na sense ya guilty iliyokuwa induced by Zenj na nia njema ya watanzania, kwa kutaka wapa kila kitu Zenj ili waridhike na kuacha manung`uniko kumbe kadiri wanavyojitahidi waridhisha wenzao ndivyo wanavyozidi kujifunza tamani makubwa zaidi na kuona waliyopewa hayawatoshi.Ni ktk kutotambua na kuwaelewa wenzao wazenj ndipo Tan Zania ilivyojikuta inawaharibu kabisa wazenj, muungano huu umewaharibu kabisa wazenj, watu ambao wasingekuwepo km Muungano usingekuwepo.
Hivyo unafikiri muungwana ananunuliwa? Nini lengo lenu na quilty hiyo ni ya nini? Wazanzibari hawajalalamika kutaka posho au misaada kutoka kwenu lakini watalalamika kwa haki iliyoambatana na huu ulzimishwaji na kubwa kulalamika kuwa wanataka wawe huru waslishwe makombo bali wale kwa nguvu zao au wafe njaa kwa hiari zao. Hili gumu jamani upande wenu?
Wazenj kwa jinis walivyo, na ukubwa visiwa ni wazi matajiri wachache km si mmoja anaweza inunua Zenj, hata leo ikiwa na thamani ya mafuta yake.Zenj inaweza shikiliwa na vitu vidogo sana vinavyofuta njaa ktk siku wanzoziona kwa macho.Ukiwasikia wakililia misaada ya sultan, basi ujue hata bara wakiweza provide chakula kwa kila raia mfululizo bila kuwaambia kinalipwa vipi , wala kuwaachiahisia kuwa kuna mwingine anakula zaidi hata km wao wanashiba,amani iakuwepo.
Hii ni kusadikika! suwala la nani wa kuombwa na nani wa kuinunua Zanzibar isiwe tatizo kwenu kwani kabla ya kufanya hila Zanzibar ilijitegemea na ilikuwa na uamuzi wake nani wa kumuomba na nani awe bwana wao. Hivyo kuomba na kufanywa kuchukuwa amri lina tofauti iwapo Bwana anaepigiwa magoti na kuombwa anakuwa mzungu au mwarabu? Hebu angalia kwa makini utaona kuwa hayo unayoyafikiria kwa Zanzibar yako tayari kwa upande wako lakini Bwana zako wewe ni wazungu na Wamarekani au sivyo?
NI kichekesho sana Zenj bado wanajadili kuchukua kuku za nchi gani badala ya kufuga kuku wa kutosha na kuzidi kiasi cha kuuza nje.Pengine kuku wangekuwa ni viumbe pekee wanaoweza fugwa kwa wingi sana kwani hawahitajia sana eneo kubwa na mabaki ya uchafu na kinyesi yanaweza rutubisha zana visiwani kuliko ng`ombe ,mbuzi na wanyama wengine.
Kichekesho hichi pengine ni sawa na zile habari za jana kuwa Tanzania inanunua nyama na maziwa kutoka nje wakati vitu hivyo vipo vya kutosha hapa Tanzania. Si nyie mnaokimbilia shoprite kununua vitu vya nje? Ni uhuru wa kuamuwa kwani hakuna anaekatazwa kufuga kuku na kama watakuwepo wa kutosha hao walioagizwa watadorora.
Kwa raia mmoja mmoja huwezi watambua wazanzibara hadi utakapokaa nao halafu ukawasikia wakifungua mdomo kuongelea jambo lolote linalohusu utamaduni tofauti na wao, elimu tofauti na ya kwao, dini tofauti na dini kuu, siasa, michezo na mengine, Wazenj hadi tamasha la Filamnu bado halijawa lao, wazenj hata akina bi kidude bado hawajawa mashujaa wao, wazenj hata historia yao ya kweli si yao, wazenj hata wao wenyewe kuwapa sifa kwa lile uonalo wamefanya vyema unaweza ambulia majibu ya kukushangaza.
Msingi wa mjadala huu ni utofauti kati yetu, hivyo unafikiri nani anaejitambuwa na kukubali utamaduni wake atakuwa tayari kuondoshewa? Mbona hatukubali utamaduni wa ushuga hapa kwetu? Na hiyo ya umoja wao katika kutowa mawazo yao ni kuonyesha kuwa wao si watu wa kuburuzwa na inapolazimika kukaa kimya kuacha mwenye nguvu afanye atakavyo basi na iwe hivyo lakini kitu unafiki eti kupewa sifa kwa jambo ambalo toka na mwanzo halitakiwi si utamaduni wa Zanzibar.Wazanzibari wanajuwa nini wanataka.
Kwa ujumla si wenzetu.Sheria watumiazo kuwahukumu bara ukizitumia kwao unaambia unafanya uonevu....
Wakati tumemsikia Rais Mugabe Leo anaukataa ukoloni kwa nguvu zote Wenzetu Zenji wanatamani kurejesha Koloni la kiarabu ! Ebu jiulize ni kisiwa gani Barani Afrika ni Tajiri kuzidi Mataifa mengine humu Afrika?na Kama kuna mafuta Baharini Pemba ! iweje mafuta yasipatikane Baharini Tz Bara ?kumbuka Bara Bahari imetoka Tanga hadi Mtwara na Kama Uganda mafuta yamepatikana Ziwani iweje Tz bara yasipatikane wakati Bara inaongoza Duniani kwa idadi kubwa ya maziwa mengi na mito mingi na mbuga za wanyama !chezea Tz bara wewe
Mtoto mlalamishi akiumwa anataka attention ya kila mtu ndani, ila wengine wakiumwa yeye kujitua ni taabu sana.Ila ndipo serikali yetu haikutaka jenga taasis za kiserikali na kijamii ambazo zingeweza wawachanga wazenj na wengine ili watu kujuana na kuweza pata tafsiri moja ktk jambo moja ingekuwa tumefika mbali sana.Otherwise jamaa hawa watakuwa na majibu version mbili siku zote, na hata wakiwa na version moja hakutataelewana km tunavyotofautiana ktk kiswahili.
Kiswahili chao maneno mengine ni matusi kweli, na ya kwetu mengine kwa ni matusi, yanayoudhi kuliko tafsiri yake kwa kiswahili chao.Kwa vile tuu yameongewa na mbara.
Km ilivyo zinaa kwa mzenj, si mbaya km Mbara kuoa Mzenj.....tupo dunia tofauti sana.Mzenji kujikatia pori kibaha si dhambi km Mbara kununua ardhi na kuindeleza kwa kujenga shule Zenj.
Tutabaki tofauti sana
Kuhusu maovu nafikiri ni tone katika ziwa kwa maovu huko Bara. Kila uovu huko uko lakini cha msingi kwanini hamtuachii na mkaunda serikali ya Tanganyika ili tukae meza moja tukijadiliana kuangalia kipim tunakubaliana kipi hatukubaliani?Acha hizo ! Kama kuna mapungufu basi ni huko zenji ndipo kumejaa uovu ubaguzi wa kidini maadili Hakuna mpaka wageni wanamwagiwa acid .mbona Wizara ya muungano inapewa pesa kumaliza kero za muungano lakini kero hazimaliziki?usijifanye mwema kutukana wakati huko kumejaa vioja kule uk na ulaya Wazenji wako busy wanazoa Used Radio Tv Ac nk mitaani na kuja kugeuza huku Dampo kwa kuwauzia kwa bei kubwa wakati wanaviokota bure kwenye majarara ulaya
Ndio maana akina Ponda wanatake advantage. Wanatoka huko kwao Burundi au Rwanda wanakuja kuwakonfuse Wazenji zaidi.He deserverd a shot at a right place.
Haha..naweza kuruhusu unitukane matusi yote ili kuthibitisha zaid wewe ni nani,tena sitokureport kwa mods au niwaombe wanipige mimi ban ili umalizie kabisa ku prove a apoint.
Mboja hujaandika chochote kingine cha kuonyesha hata unajielewa kidogo km si kuelewa kinachoongelewa hapa.
Wala si nia yangu kuwaita nyie wapuuzi km unavyoniita mimi, ila nasema kwa sauti kubwa na msisitizo kuwa TUPO TOFAUTI SANA NAVYI KTK FIKRA NA CIVILIZATIONS.hakuna project iliyofanikiwa zenj, labda malaria amabyo nayo ina walakini pamoja udogo wa zenj na umbali w abahari amabo kuua mbu mbu wote kutachukua muda sana magari na makonten, meli kuleta mbu tena.Complains zenu tuu zimewachosha sana watu wasio na maneno na kuondoka huku wakiwaacha mkibishana na kupeana ushindi.
Tupo tofauti sana, sisi tukisema kulia nyie mnasikia kushoto, sisi tukikubalina kuwa tutafanya m1,2 3, nyie mnaafiki mkifikiri 3,2,1.Tutachukua sana muda kuweza fanya calibrations .For thr time being mipango yote na kazi zote ni bure tuu...zitaishia km vitu vya kuwaweka busy tuu na wengine wale na angalau mara mojamoja mjisikia kuna maisha ktk upande huo.
Ndio maana baba wa taifa laikosa neno bor ala kusema ili asikosee haki za binadamu kwa kusema ingekuwa ni uwezo wake ..Angekisukuma hicho kisiwa huko huko Baharini kabisa..........mbali kabisa .Mimi ninaongezea mbai kabisa ili kilio chenu tusikisikie..nisisikie mkilia huku mkimtaja yeyote wa bara awaokoe...ili tusijisikie kuwa tunawaacha tuliodhani kuwa ni ndugu zetu.Sidhani km kuna ukombozi wa Zenj wa Mara ya tatu.Kuanzia wa wamisisonary kuwanunua kwa sadaka ya waumini wa Ulaya, na uwaweka huru, bado mkarudi ktk utumwa kwa kujiweka wakfu, Nyerere akawapa ukombozi wa kimwili, kisiasa bado mkaukana kwa vile utumwa wa roho na fikra mliouwekea Wakfu huwa hautoki bila mhusika kukiri na kutoa sadaka.
Safari yangu ya mwisho Zenj ..ilikuwa huzuni sana kwa Taifa na hatima ya Tanganyika kuwa Jirani na hivi visiwa..nilitamani hata viuzwe a kubebwa ,ila haikuwa rahisi.NIkatamani umma wa watanganyika uyaone haya.NIlituma post nyingi sana , na nyingi zilijibiwa kwa matusi, kejeli, bans ,kuitwa mdini etc.
Zenj hakuna wazee wala vijana, wasomi au wavuvi, hakuna wa kubadili mwingine zaidi ya kumwongezea Jazba na sumu zingine.Wamasai hata wa a vijijini kabisa wamekuwa mifano bora ya maendeleo kule visiwani.Wazenj wamekeuwa very serious kuwafanyia hujuma tena mbaya sana,badal ya kujifunza kwao na kuweza pambana kiufanisi na kibishara ili waweze jiiimarisha.
Wazenj karibu wote vijijini wanaongea vitu vya kufikirika ,wana maaadui wa watu wengine, wana maelezo ya tofautis aa kuhusu afankio ya wengine .Hata wengine wakienda kwao kushirikiana nao mbinu walizozitumia hadi kufanikiwa, wazenj masikini watajaribu kuwa walimu wa walimu wao.Watataka wao wanafunzi wasikilizwe na pengine kuwa walimu tena kw aubishi mkubwa sana.Mwisho wa siku wazenj wanatoka tupu na furaha zao kuwa wamewashinda walimu wao.Na elimu yao ya akina Ponda type ndio superior, na iliyostahili tawala dunia..."...Then the light goes off...time to bed in Zenj..and its Mid-night in the farmlands of Zenj"
Nicholas kwani una kigugumizi cha kuandika au jazba zikikupanda mikono hutetemeka. Wakati mwengine tunashindwa hata kuungaunga maandishi yako.
Tena umzuri kuonyesha tofauti zetu, sasa umekuja na tofauti za utumwa wa kimawazo! naam wewe ni mtumwa wa kimawazo kivyako sasa ulitegemea Wazanzibari wawe watumwa sawa nawewe? La kila mmoja ana utumwa wake kiama Mzanzibari unahisi anafikira za utumwa wa kiarabu wako ni utumwa wa fikira za kizungu hivyo sote ni watumwa!
Kwani Kiswahili ni lugha yako wewe? Ni lugha ya kujifunza baada ya kufika mjini sasa hayo maneno ya matusi inakuwa tabu wazee kukufundisha!
Kila mtu ana maamuzi yake na mnakubali kuwauzia Wazenji kwa vile wanachojenga ni vitu vya maana, maghorof, miji n.k lakini mbara akinunua ardhi Zanzibar anakimbilia kujenga baa na magesti vitu vya kihuni, nani anataka kunajisiwa ardhi yake?
Ala kumbe una kisa kimekutokea? Pole sana MNicholas lakini pengine kosa lako ni kujifanya mjuwaji na kufikiri kuwa Wazenji ni mbumbumbu eti kwa kuwaona hawafungi tai.
Mtazamo wako wa kujihisi kuwa ni bora wakati humu ndani unathibitisha kuwa wewe huna cha kumfundisha Mzanzibari bali yeye amekuwa akielimika kabla ya hata wewe hujatoka mikoani kuja mjini.
Ni ukweli usiopingika kuwa Wazanzibari hawataki mtu kuja na kujilabu kuwa yeye ni nani na ana nini isipokuwa wanajali vitendo na tabia ya mtu na iwapo ni tishio kwao hawana msalie mtume!
Naam kwani sheria zinafuatana na tabia za watu, pengine sheria inafaa kwa Bara lakini kwa Zanzibar haifai kwani haihitajiki
Ngekewa hata hizo tai unazodhani kuwa watau wanacheka wazenji ..ni kwa vile hata wakizivaa huwa wanavaa hovyo km jinsi mnavyokuwa hovyo ktk kanzu,, ktk jezi za Timnu za UK....makamu wa rais wote , mwinyi hata na JK walichukua sana muda kuwa nadhifu..Utashagaa hata JK kwa mika yote kukaa nje bado miaka ya mwanzo ya urais wake kila aliweza ona ni kwanini alikuwa akipendelea Vitenge juu ...............................
Mkoloni ni mkolonitu awe mwarabu au mwafrika.Zanzibar inataka kuwa huru kuchaguwa mkoloni gani anawafaa kama nyinyi mlivyochagua mkoloni wa Kimarekani. Sasa nyie wenyewe mnatawaliwa na bado mnataka kuendelea kututawala?
Acha hizo ! Kama kuna mapungufu basi ni huko zenji ndipo kumejaa uovu ubaguzi wa kidini maadili Hakuna mpaka wageni wanamwagiwa acid .mbona Wizara ya muungano inapewa pesa kumaliza kero za muungano lakini kero hazimaliziki?usijifanye mwema kutukana wakati huko kumejaa vioja kule uk na ulaya Wazenji wako busy wanazoa Used Radio Tv Ac nk mitaani na kuja kugeuza huku Dampo kwa kuwauzia kwa bei kubwa wakati wanaviokota bure kwenye majarara ulaya