Safari yangu ya mwisho Zenj ..ilikuwa huzuni sana kwa Taifa na hatima ya Tanganyika kuwa Jirani na hivi visiwa..nilitamani hata viuzwe a kubebwa ,ila haikuwa rahisi.NIkatamani umma wa watanganyika uyaone haya.NIlituma post nyingi sana , na nyingi zilijibiwa kwa matusi, kejeli, bans, kuitwa mdini etc.
Zenj hakuna wazee wala vijana, wasomi au wavuvi, hakuna wa kubadili mwingine zaidi ya kumwongezea Jazba na sumu zingine.Wamasai hata wa a vijijini kabisa wamekuwa mifano bora ya maendeleo kule visiwani.Wazenj wamekeuwa very serious kuwafanyia hujuma tena mbaya sana,badal ya kujifunza kwao na kuweza pambana kiufanisi na kibishara ili waweze jiiimarisha.
Wazenj karibu wote vijijini wanaongea vitu vya kufikirika ,wana maaadui wa watu wengine, wana maelezo ya tofautis aa kuhusu afankio ya wengine .Hata wengine wakienda kwao kushirikiana nao mbinu walizozitumia hadi kufanikiwa, wazenj masikini watajaribu kuwa walimu wa walimu wao.Watataka wao wanafunzi wasikilizwe na pengine kuwa walimu tena kw aubishi mkubwa sana.Mwisho wa siku wazenj wanatoka tupu na furaha zao kuwa wamewashinda walimu wao.Na elimu yao ya akina Ponda type ndio superior, na iliyostahili tawala dunia..."...Then the light goes off...time to bed in Zenj..and its Mid-night in the farmlands of Zenj"