Yap! Hapo
Nicholas umeongea!
Kwa Sera mbovu + uvivu wa Wazenji ni tatizo kubwa linaloikandamiza Zanzibar!
Huwezi amini kuna maeneo Zenji ni mazuri sana kwa kilimo mfano FUONI, aaagh ujengaji holela na uvamizi wa viwanja unaondelea sipati picha baada ya Miaka 30 Zenji watakua tegemezi hata kwa spices!
Ubaya wenyewe kunamaeneo ya jangwa kama Tunguu, Bungi, na maeneo mengine kibao yako wazi na hayana shughuli yoyote! Naskitika hule ujenzi holela haufanyiki maeneo hayo ili zile sehemu zenye rutuba zikatumika kwa kilimo! Huo ni mfano m1 tu, mifano ya sera mbovu ipo mengi tu!
Wacha niachane nayo ili nije kwenye point!
...
Viongozi vibaraka na wabadhirifu vile vile wamejaa Zanzibar!
...
Nadhani wazenji wameanza kuamka for somehow ingawa imani mbovu ya DINI na Elimu mbovu ni tatizo jengine! Na hapa napaacha!
...
Ivi umesahau ule msemo unaosema 'Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni'?
...
Naamini wazenji wengi wa(me/na)amka kwa sasa!
Never think that majority of Zanzibarian supports CCM! Unajua nini, mavibaraka wakubwa ni maCCM! Katiba yao ya chama ndio inayowabana na kujikuta Tanganyika wapo na Zenji wapo!
...
Mageuzi ya Zanzibar kwanza ni kuondoa CCM madarakani!
I believe everything will be alright!
...
Najua na natambua faida za Muungano, but believe me ni Wazenji wachache (includes me) ndio wanafaidika na Muungano!
Majority ya Wazanzibar hawaoni faida zake! Wewe ukiwa huku unaweza ukasema Wazenji wanaokataa Muungano hawana akili! Sio kweli!
...
For somehow Muungano ni Sababu nyingine ya underdevelopment kwa Wazenji walio wengi! Labda nikuee mifano:
1 mambo ya nje!
2 pesa!
3 bandari!
4 malighafi eg karafuu (bv nahisi hili limetatuliwa!)
5 Nafasi za juu/nyeti katika ajira! (sitaki kuamini wazenji wote ni mbumbumbu na hawatoweza kushika nafasi hizo!
N.k...