alley omar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 277
- 37
Wengi watashangaa sana nilichoandika ila kwa analyst wazuri watakubalina nami.Wabara hatujui haya.Wazanzibar kwa ujumla wao hawafanani sana na watanganyika kifikra.Values wanazochare na bara ni kidogo sana.
Kuna Aspect za dini ,na mahusiano ya kibiashara na baadhi ya vitu wazenj wanajifunza bara ndivyo vitufanyavyo tuendelee jion akuwa tupo ktk boat moja.Hao viongozi wa serikali wanaotoka zenj wamjifunza mengi sana kwa miaka mingi sana.Ndio leo tunaojidanganya kuwa tupo pamoja ktk hii safari ya muungano.Hatap hivyo hao jamaa wamejifunza tuu kuishi nasi ila bado ktk uhasilia wana "Wanbanwa na hili koti " ila ndipo ulipo urembo.NI kama kufuata asali huku nyuki wakikundunga mishale.
Hawa viongozi wa kizenj tulio nao hawana msaada ktk kuleta umoja , na wapo very well detached na watu wao kuhusu ukweli wa muungano, na wapo nao pamoja sana ktk kushangaa muungano na maelezo mengine kwanini Zanzibar ni failed Society.
Kwa hali halisi Watu wa bara wana fikra tofauti sana na mitazamo isiyokaribina kabisa kuhusu maisha na maendeleo ya taifa.
Fikra za watanzania ktk makubaliano mengi ya muungano na maendeleo ya Taifa si moja na wenzao wa Zenj hata kama ziliandalia pamoja.Kwani mud awa mipango wazenj wengi hujifunza kufikiri km wabara ila hawapati concept moja nao .Ndio maana wakirudi kwao na kusahihishwa na wenzao (ambao pia walipaswa eleweshwa makubaliano yalifikiwa vipi) basi hawa viongozi huishia jitetea kwa hayo waaminio wazenj.
Ingewezekana wabara wakawapa wazenj hata masaa 5 ya wao kufany amambo yao halafu Bara wakaaangalia basi watu wa bara wasingekaa waweze funga midomo tena kwa kubaki wazi.Na kuendelea kupanga mambo na wawakilishi wao bado kutaendelea washangaza wabara matokeo yanavyokuwa tofauti kwa wenzao kulalamika kwamba walichkubaliana ktk mipango sicho walichokuwa wakitaka.
Kwa ujumla tupo tofauti sana.....na wenzetu wa visiwani....na ziku zinapokwenda bara hawawezi pick up tena na ilipoachwa zenj ichukue njia yake.Zenj ibatabi kuwa visiwa vya "YASIYOTEGEMEWA".
We bana akili zako ni ukabila, udini, ubaguzi, ukaburu, uchadema, unyinyiemu, uzandiki na kila aina ya fikra ya kibaguzi
sijajuwa ndo aina ya watu tutakaokuwa nao baada ya ukombozi mpya toka nyinyiemu?
Yaaani sikuelewi kabisa!
mY friend si kwamba naichukia Zenj..ila nakuambia kuna Mengi sana yanatia huruma.Wazenj hata utendaji wa kazi na maisha kwa kila siku si productive kabisa.Wazenj wana uzalendo ndio ila wanapoutafsiri kwa vitendo wanafanya ktk twisted ways.Wazenj kimatendo na mitizamo wanazidi fanya maisha yao yawe mabaya zaidi.HAwaaminiki kw kaiasi cha bara kujioa salama Zenj ikiachiwa na mambo yake.Nicholas Nimekusouma vizuri post zako za page 1!
Nimegundua unapoint nzuri tu but Wazenji wenye hasira wamekufanya uongelee ushabiki rather than facts!
...
Mimi ni Mzenji, na hizo kasumba za Muungano nadhani hauzijui vizuri!
...
Kiukweli Wazenji wengi ni wabaguzi, na wanajipenda wenyewe na Taifa lao rather than Watu wa Taifa lolote includes hao waarabu unaosema!
Wanachokihitaji Wazenji ni maendeleo na sio kitu kingine!
Maisha ya Wazanzibar wengi ni mabovu! Na mtazamo wa wazanzibar wengi kama sio wote wanatambua Tanganyika ndio chanzo! Na nyerere ndie adui mkubwa! Nadhani yale maneno alioyasema Nyerere dhidi ya Zenj bado unayakumbuka!
jee kama wewe ni mzenji, ungefurahia maneno yale?
...
So, ingawa wazenji ni wabaguzi mkumbuke chuki mlipandikiza wenyewe!
...
Mimi kama mimi napenda tuwe pamoja bila kuvunja muungano but marekebisho ni lazima yafanyike!
...
Naskitika kukuambia wazenji wengi hawana imani tena na waTanganyika!
...
Embu mwekundu pita hapa!
Kiukweli wazenj ingawa sio wote ni walalmishi wakubwa,wamekaa kulalamika bara inawanyonya bila kuangalia ukweli,pia ni wabaguzi wanadai wabara wanachukua ajira zao,wanadai mafuta yawe yao,hawataki wabara waruhusiwe kujenga zanzibar wakati wakidai hayo yote wao ndio wamejazana huku bara,wao ndio wananunua nyumba,mashamba kwa wingi huku bara asilimia kubwa ya chakula kinatoka huku bara hiyo ni pamoja na nyama lakini ukiwaambie na sisi tutaweka sheria ambayo itawazuia wao kujenga huku wanadai wao wako wachachwe hata dar hawawezi kuijaza wakati wanataka uwakili sawa wa bunge la muungano,nafasi za ajira wanadai wao hawawezi kuchangia sawa kwani mapato yao madogo kwa kweli ni
Shida kubwa zaidi ya Zenj ni kwamba hata move wanazofanya wanafanya bila kuwa na malengo wafike wapi,kwani hakuna kiongozi mwenye nia safi....ya kuwaongoza ktk mawazo mapya yasiyo na chuki wala hisia potofu za kulalamikia wengine.Wawe na fikra kuwa siku moja nao watahitajika saidia wengine.Yap! Hapo Nicholas umeongea!
Kwa Sera mbovu + uvivu wa Wazenji ni tatizo kubwa linaloikandamiza Zanzibar!
Huwezi amini kuna maeneo Zenji ni mazuri sana kwa kilimo mfano FUONI, aaagh ujengaji holela na uvamizi wa viwanja unaondelea sipati picha baada ya Miaka 30 Zenji watakua tegemezi hata kwa spices!
Ubaya wenyewe kunamaeneo ya jangwa kama Tunguu, Bungi, na maeneo mengine kibao yako wazi na hayana shughuli yoyote! Naskitika hule ujenzi holela haufanyiki maeneo hayo ili zile sehemu zenye rutuba zikatumika kwa kilimo! Huo ni mfano m1 tu, mifano ya sera mbovu ipo mengi tu!
Wacha niachane nayo ili nije kwenye point!
...
Viongozi vibaraka na wabadhirifu vile vile wamejaa Zanzibar!
...
Nadhani wazenji wameanza kuamka for somehow ingawa imani mbovu ya DINI na Elimu mbovu ni tatizo jengine! Na hapa napaacha!
...
Ivi umesahau ule msemo unaosema 'Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni'?
...
Naamini wazenji wengi wa(me/na)amka kwa sasa!
Never think that majority of Zanzibarian supports CCM! Unajua nini, mavibaraka wakubwa ni maCCM! Katiba yao ya chama ndio inayowabana na kujikuta Tanganyika wapo na Zenji wapo!
...
Mageuzi ya Zanzibar kwanza ni kuondoa CCM madarakani!
I believe everything will be alright!
...
Najua na natambua faida za Muungano, but believe me ni Wazenji wachache (includes me) ndio wanafaidika na Muungano!
Majority ya Wazanzibar hawaoni faida zake! Wewe ukiwa huku unaweza ukasema Wazenji wanaokataa Muungano hawana akili! Sio kweli!
...
For somehow Muungano ni Sababu nyingine ya underdevelopment kwa Wazenji walio wengi! Labda nikuee mifano:
1 mambo ya nje!
2 pesa!
3 bandari!
4 malighafi eg karafuu (bv nahisi hili limetatuliwa!)
5 Nafasi za juu/nyeti katika ajira! (sitaki kuamini wazenji wote ni mbumbumbu na hawatoweza kushika nafasi hizo!
N.k...