Elections 2015 Tusidanganyane !! Hapa tunachagua mtu wa kuibadilisha system

Elections 2015 Tusidanganyane !! Hapa tunachagua mtu wa kuibadilisha system

Mpuuuuuuuzi tukuchague wewe basi urafiki wa watu unalihusu nini taifa tunaangalia kichwan km kuko salaaama broo vp ubongo naona umembonji
Honestly tukiwachambua wagombea kwa sifa ya kuwa vizuri upstairs tutakuwa hatujamtendea haki mgombea flani ambaye hata mkewe atam-outsmart!
 
Hamna cha boys to men wala cha boys to women,,,Mwaka huu ni wa mabadiliko na rais ajae ni Edward Lowasa...
 
meningitis

kwani hujui kuwa kikwete alikuwa na majina yake mfukoni! sasa hilo makufuli liliibuka kutoka wapi! shirikisha ubongo kwenye maamzi!
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yako ule upuuzi uliokuwa ukifanywa na wabunge wa ccm kwa kutumia wingi wao hatuko tayari kuuona. Na kwa bahati mbaya sana dalili zinaendelea hata kwenye kampeni hizi. Mbele ya Magufuli tumesikia maneno ya kipuuzi kabisa toka timu yake ya kampeni huku Magufuli akiwa kimya kabisa. Unakumbuka neni mgombea kujinyea? Upuuzi huo wa jukwaani na huku Magufuli akichekelea umeamsha makovu yetu ya jinsi wabunge wa ccm walivyokuwa kero na wasiojua wajibu wao.

Sasa ww leo unatuambia tumchague mtu anayeataka kuingia madarakani kwa kutumia kampeni za matusi, kisha wakienda bungeni waishie kuzomea na kutoa mipasho. Tutawapiga chini wote kwani tunajua tunaletewa uozo uleule kwa maneno matamu. Pole sana
Ukweli unaitwa matusi siku hizi.
Kumbuka hata aliyesema hayo jukwaani ni yule yule aliyeambatana na kuheshimiwa na EL pale Arusha.

Kujinyea sio tusi bali ni tatizo tu linalomkumba mtu mzima kutokana na ama ugonjwa au uoga!
 
kwani hujui kuwa kikwete alikuwa na majina yake mfukoni! sasa hilo makufuli liliibuka kutoka wapi! shirikisha ubongo kwenye maamzi!

Lilitoka kwa wenye weledi.ndio maana nikaeleza kuwa huu ni mwisho wa tatizo la mda mrefu la mtandao ndani ya ccm na nchi.
 
We mbaba #meningitis#
C tumesoma ila hatujaelewa
Usitulazimishe we subl kupiga kura au kama umetumwa kawaeleze hali ngum huku wananchi hawaelew alfu ktu kingne c hatuitaki CCM so kumponda lowassa peke yake haisaidii ata wangeweka mawe tungepigia kura #hakuna cha kubadl mfumo wala mfuko ndan ya CCM wote ni wale wale# bushit#
 
We mbaba #meningitis#
C tumesoma ila hatujaelewa
Usitulazimishe we subl kupiga kura au kama umetumwa kawaeleze hali ngum huku wananchi hawaelew alfu ktu kingne c hatuitaki CCM so kumponda lowassa peke yake haisaidii ata wangeweka mawe tungepigia kura #hakuna cha kubadl mfumo wala mfuko ndan ya CCM wote ni wale wale# bushit#

Tulia dogo uelimishwe!
Mbwembwe za matusi sio mahala pake hapa...hapa ni hoja ijibiwe kwa hoja.
nifuatilie unijue mimi kama ni mtu wa kutumwa au kusombwa na kelele!!
 
Chonde chonde ndugu yangu kidole na jicho. Kumbuka wanawake na watoto.

We umewaza nn kwani hapo?
Pita hivi nawe kma unataka kuleta ujinga araaaaaaaa#

Mmekaa ki uchochez tu et Aman itavunjika nan kasema???
Mtaivunja nyinyi???
 
Tulia dogo uelimishwe!
Mbwembwe za matusi sio mahala pake hapa...hapa ni hoja ijibiwe kwa hoja.
nifuatilie unijue mimi kama ni mtu wa kutumwa au kusombwa na kelele!!

Wa kunielimisha utakuwa ww
Elimu niliyonayo inanitosha nielimishwe na failure ka ww???
Kk umepotea njia
We kama una maslah na CCM endelea nayo tena upite hivi
 
Wa kunielimisha utakuwa ww
Elimu niliyonayo inanitosha nielimishwe na failure ka ww???
Kk umepotea njia
We kama una maslah na CCM endelea nayo tena upite hivi

Mantain the focus while smokin dis weeder!!
 
Ukweli unaitwa matusi siku hizi.
Kumbuka hata aliyesema hayo jukwaani ni yule yule aliyeambatana na kuheshimiwa na EL pale Arusha.

Kujinyea sio tusi bali ni tatizo tu linalomkumba mtu mzima kutokana na ama ugonjwa au uoga!

Nilitarajia ungeongelea tatizo la msingi la wingi wa wabunge wa ccm na jinsi wanavyotumia wingi huo vibaya, wewe unaongekea mambo ys kujinyea. Kama kinyesi ingekuwa ni shida leo hapo Dar tusingeona mitaro ya maji machafu ikitiririsha vinyesi hapo katika ya jiji huku watu wakipata vyakula bila shida. Jadili hoja za kujenga na sio huo utoto unaoleta hapa jukwaani. Nilitaraji utanishawishi kwa hoja kwann Magufuli ni bora, kumbe ubora wake kama taifa ni kwamba hajajinyea. Ngoja nikuulize kitu, Celina Kombani kafiriki ila alikuwa ni mgombea wa ccm huku akiwa ngonjwa, mbona hamkutuambia huu upuuzi unaousena hapa?
 
meningitis

Nimependa sana maoni yako ,nadhani hayakutawaliwa na jazba ya kisiasa,nadhani hoja zako zinaweza zikawa zimesukumwa na uzalendo.Taiafa letu limefika hapalilipo si kwa bahati mbaya,bali tatizo kubwa ni Uongozi.Naukisema uongozi CCMhaiwezi kwepa lawama.Tunaposema C.C.M.haijafanya kitu tunajaribu kujiananisha na wenzetu ambao mazingira yao yanafanana sana nasisi,lakini wenzetu wanapiga hatua.Mfano watu kama Ethiopia Walipata janga kubwa sana la njaa 1985 lakini sasa wanakwenda speed kubwa kimaendeleo sisi pamoja na wimbo wetu mzuri wa AMANI NA UTULIVU tunazidi kuwa masikini kila siku.Hatusemi ndani ya CCM hakuna watu wazuri wapo lakini ndani ya mfumo waCCM hawawezi fanya vizuri.

Mfano watu walikuwa na imani sana na pinda wakati anateuliwa kuwa waziri mkuu wakasema mtoto wa mkulima, hana makandokando na anachukia sana ufisadi.Katika misa yake ya shukrani kwa kuchaguliwa kuwa PM pale stPETER'S aliapa atafanya kila liwezekanalo kuondoa ufisadi.Siku 100 baada ya kukaa ofisini alipo ulizwa amefikia wapi na vita vyake vya ufisadi alisema hii vita ni ngumu sana na ukiingia kwa pupa nchi ita waka moto.Sina Tatizo na Magufuli lakini ndani ya CCM Hakuna kitu .tuungane wote watanzania Wenye nia njema Tuungane tuondoe CCM .Baada ya hapo tujenge mfumo bora .then tupate maendele😵BAMA aliwaambia wakenya Hamuwezi kupata Maendeleo ya Dhati kama hamtakua na Demokrasia ya kweli then utawala bora then Maendeleo.TUUNGANE PAMOJA TUIKOMBOE NCHI YETU.
 
Last edited by a moderator:
1. CCM waseme wamefanya nini

2. UPINZANI WOTE waseme watafanya nini...aje...kwa spidi ipi.

Hayo ndo mimi nitapima kabla ya kutoa kura yangu kwa yeyote. Hadithi...vijembe..matusi...kejeli...havisaidii (from pande zote!)
 
Magufuli anajitoa CCM leo ila akishindwa atarudi CCM.
 
We umekuwa???
Boyz to men??? Nimewajua kabla yako we c juz ndio umetoka kwa baba na mama yan unatuletea ctory za zaman hapa wawe boyz to men,men to boyz watajua wao....

Tutamchagua lowassa aingie ikulu

Jinsi unavyoandika unaonesha hata umri wa kupiga kura hujafikisha.
 
CCM ni shetani aliyezeeka na kipindi hiki anajibadili kuwa malaika kwa kutoa ahadi lukuki na kujidai kuwahurumia wahanga wake yaani wananchi. Tusidanganyane, mfumo uliowekwa na ccm ni mbaya na hautabadilika hata aje malaika.
Gari mbovu haiwezi kuwa mpya eti kisa imepata dereva mzuri.
Tuabirie gari mbovu kwa vile tu kuna dereva wa kutoa amri ya kulisukuma ili anyooshe usukani wakati gari jipya lipo??
Wajinga ndiyo watasukuma hilo gari na likiwaka 100% wanaachwa kama ilivyo sasa. Wewe unafia mapokezi kisa huna hela ya kumuona daktari wenyewe wanakwenda kufia India na bado kodi yako inatumika kurudisha mi....ga....yao. Mimi sidanganyiki.
 
Back
Top Bottom