MImi sijasema kuwa Lowassa ni msafi,vilevile natambua nguvu kubwa iliyo nayo CCM,ambayo huwezi kuitoa CCM kiurahisi ,mimi kama mtu binafsi sifaidiki chochote kwa CCM au CDM kuwa madarakani,tunachotakiwa kupigania mimi na wewe ni mfumo ambao utaleta uwajibikaji wa serikali na mwisho utaleta ustawi wa maisha kwa kila moja wetu,Ambao mfumo wetu unaweza dhibitiwa na katiba ambayo inampa madaraka makubwa sana raisi hivyo ukimkamata raisi tu umemaliza kazi,unaweza fanya lolote,hivyo kutokana na katiba yetu ya sasa na ile pendekezwa inatoa huo mwanya, ndo maana mafisadi wengi wanaipigania katiba hiyo.Ndugu yangu nikukumbushe nguvu ya mafisadi ni kubwa sana ndo maana nakuambia pamoja na uzuri wa magufuli na viapo anavyo apa jukwaani kila siku,hata weza himili nguvu za mafisadi kama nilivyo kupa mfano wa pinda,wasiwasi wangu serikali ya CCM IKIINGIA itapitisha ile katiba pendekezwa inayotua nguvu kubwa kw mtu moja ambaye mafisadi lazima wamkamate mambo yana baki palepale,mimi na amini hata wewe unaweza ukawa mwana CCM wa kawaida sana ambaye huna maslai na yale yanayotendeka juu,.mimi imani yangu ni kuwa hata kama CCM itaanguka itakuwa na wabunge wengi na kwakua ,CCM watakua nje ya mfumo si amini kama watapendelea ile katiba pendkezwa ipite kwakua nawao itawabana hivyo huo utakuwa mwanzo mzuri wa kupata katiba itakayo jenga mfumo bora kabisa,ambao unaweza leta ustawi wa jamii ya kitanzania,kwa sababau almost bunge lita balance yale mambo ya ndio mzee hatakamahupendi yataisha.