Elections 2015 Tusidanganyane !! Hapa tunachagua mtu wa kuibadilisha system

Yuko anayeweza kuamrisha gari lisukumwe wakati yeye akiwa ndani...ndio utamaduni wa dereva!!tunamuhitaji dereva wa kuamrisha watu walisukume gari wakati yeye akinyoosha usukani.

daah..!!una akili kubwa sana mkuu...bigup
 
Tulia dogo uelimishwe!
Mbwembwe za matusi sio mahala pake hapa...hapa ni hoja ijibiwe kwa hoja.
nifuatilie unijue mimi kama ni mtu wa kutumwa au kusombwa na kelele!!

Nani katukana au ume data!?
Afe kipa,afe mshambuliaji au hata muhamishe goli ccm hatuitaki,nenda kawajibu waliyokutuma waambie huku kitaa malofa vipofu wanaona,malofa viziwi wanasikia,malofa katika ubora wetu kama mbwai mbwai barida.
 
Kama boyz II men wanahusika basi ccm imefika End of the road.
 
✌✌✌✌utajua tar 25

Usije ukabadili ID tu.

Maana nnauhakika baada ya tarehe 25 ID nyingi humu zitayeyuka kama zilivyoyeyuka zile zilizokuwa zinamshambulia Lowassa alipokuwa CCM.
 
✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✋✋✋✌✋✌✋✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌



in god i do here by trust. Ni mabadiliko to.
 
Usije ukabadili ID tu.

Maana nnauhakika baada ya tarehe 25 ID nyingi humu zitayeyuka kama zilivyoyeyuka zile zilizokuwa zinamshambulia Lowassa alipokuwa CCM.

Ha ha ha zitaondoka kwenye jukwaa la siasa na kurudi kwenye ile special thread ya TCU
 
Dhambi ya kuwa na dhamira mbaya kwa Taifa kwa kisingizio cha utu machoni pa watu haitatuacha salama!
 

Nashukuru kwa kujadili hoja kwa utulivu tuliouzowea.

Sijawahi kupinga ubaya wa ccm na mapungufu ya vipngozi wake!

Kama unakumbukumbu ni sisi tulioisema sana ccm ijivue gamba kwa kuondoa wale tulioaminishwa kuwa ni wachafu!

Ni sisi tuliopiga fimbo CCM ili ibadilike sasa itashangaza sana tunapoinyanyasa kwa maneno yale yale ilhali imeondoa na kumkata hata yule aliyeshindikana.

Baada ya kumkata huyo ikajaribu kumtafuta mtenda kazi asiye na makundi na anayekubalika na jamii,itashangaza sana tukimchagua EL ambaye ni sehemu na icon ya uchafu wa ccm.

Itashangaza kubadili gia angani eti kisa ''anakubalika''

Kwa miaka mitano ya mwisho ya kikwete CCM imechezea bakora za wananchi lakini pia ndani ya miaka hiyo mitano CCM imetusikiliza kwa kujibadilisha kutokana na maoni yetu.

Ni kichekesho kuurudisha mzoga uliotupwa na ccm kwa mbeleko ya chadema!

Kungekuwa na muadilifu ndani ya chadema anayesimama dhidi ya Magufuli basi story yangu ingekuwa tofauti na hii.

Wananchi walishaanza kuiondoa ccm kupitia serikali za mitaa na ubunge hata kabla ya ujio wa lowassa chadema ..trust me zoezi hilo linasita rasmi kwa kuwa sasa ajenda yao na watu waliotaka waondoke ccm imeanza kutimia.
 
kwani hujui kuwa kikwete alikuwa na majina yake mfukoni! sasa hilo makufuli liliibuka kutoka wapi! shirikisha ubongo kwenye maamzi!

Ukitaka kujua kwamba unaongea controversy mwangalie Magufuri akiwa anajibu maswali ya wabunge kwa mara ya mwisho kabisa bungeni na kilichosemwa na spika juu ya uwezo wake, utajua Magufuri kama kaja kwa bahati mbaya, fuatilia nyendo zake kusaka wadhamini mwanzo mpaka mwisho ndo utajua kama ilikuwa bahati mbaya ama ilipangwa, na mwisho kabisa fuatilia ukaribu wa Magufuri, Mkapa na Mwinyi tokea mwaka Jana ndo utaelewa ilikuwa kwa bahati mbaya ama ilisukwa? kajifunze tena.
 
Binafsi niwe muwazi tu,yaani CCM walipochakachua katiba ya wananchi ndo nikatambua wazi kuwa hawana tofauti na ZIMWI MLA WATU hawana jema na watanzania TUKIFANYA MAKOSA KUWACHAGUA TENA INABIDI TUJIANDAE KISAIKOLOJIA KUNA SIKU WATATUNYONYA DAMU!
 
Good analysis,, wazalendo na wanamapinduzi ya kweli tunalielewa hili..
 
Mtoa mada umesema kuwa mmoja alimzidi mwenzie ujanja nadhani unamaanisha mtu huyo ni jk . kama ni hivyo huoni ya kuwa katumia ujanja ule ule kumteua mtu asiyekubalika ndani ya chama na nje ya nje Dr Magufuri ili aendelee kulihujumu taifa indirect?. As ante kwa kutambua m/kiti we nu ni mjanja mjanja na mjanja mjanja huisha ujanja wake anapokufa ila kwakuwa yuko hai ccm haiaminiki tena maana ndiye aliyemleta Dr magufuri . ccm tupa kuleee.
 
 
Hakuna chama duniani kinachobadili mfumo unachokilinda kikiwa madarakani na kwa kutumia mtu mmoja ambaye anajua kufanya hivyo hatarudi madarakani. Kumbuka Gorbachev.
 
ni lowasa tu kila kona ya nchi
 

Ndugu yangu hawa watu ni hatari sana hata hiyo gia kubadilishwa haikuwa bahati mbaya walijua huko nyumba iliyowasitiri imejaa virus wanaowadhuru mfumo walioujenga kwa kutumia label ya hicho chama; one mistake they made....


Salalaaa..... Mwaka huu mafisadi hamna chenu subirini kiama tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…