Elections 2015 Tusidanganyane !! Hapa tunachagua mtu wa kuibadilisha system

Lilitoka kwa wenye weledi.ndio maana nikaeleza kuwa huu ni mwisho wa tatizo la mda mrefu la mtandao ndani ya ccm na nchi.

Common sense is not common, kama ambavyo commoners hawakuelewa umuhimu wa vyama vingi mpaka Mwl alivyotusaidia ndivyo ambavyo is hard for them to understand what has brought us to this mess..... Nawapongeza weledi wote kwakujitoa mhanga na kushiriki kuharibu uozo huu.... Niwahakikishieni tu hakuna nje ya mlilolipanga litatokea its done ninyi mlitekeleza tu but the whole project was designed and sealed three five years a go....

Glory honor power and majesty belongs to our almighty God the man of battle, acient of days and full of grace and mercy!
 
MImi sijasema kuwa Lowassa ni msafi,vilevile natambua nguvu kubwa iliyo nayo CCM,ambayo huwezi kuitoa CCM kiurahisi ,mimi kama mtu binafsi sifaidiki chochote kwa CCM au CDM kuwa madarakani,tunachotakiwa kupigania mimi na wewe ni mfumo ambao utaleta uwajibikaji wa serikali na mwisho utaleta ustawi wa maisha kwa kila moja wetu,Ambao mfumo wetu unaweza dhibitiwa na katiba ambayo inampa madaraka makubwa sana raisi hivyo ukimkamata raisi tu umemaliza kazi,unaweza fanya lolote,hivyo kutokana na katiba yetu ya sasa na ile pendekezwa inatoa huo mwanya, ndo maana mafisadi wengi wanaipigania katiba hiyo.Ndugu yangu nikukumbushe nguvu ya mafisadi ni kubwa sana ndo maana nakuambia pamoja na uzuri wa magufuli na viapo anavyo apa jukwaani kila siku,hata weza himili nguvu za mafisadi kama nilivyo kupa mfano wa pinda,wasiwasi wangu serikali ya CCM IKIINGIA itapitisha ile katiba pendekezwa inayotua nguvu kubwa kw mtu moja ambaye mafisadi lazima wamkamate mambo yana baki palepale,mimi na amini hata wewe unaweza ukawa mwana CCM wa kawaida sana ambaye huna maslai na yale yanayotendeka juu,.mimi imani yangu ni kuwa hata kama CCM itaanguka itakuwa na wabunge wengi na kwakua ,CCM watakua nje ya mfumo si amini kama watapendelea ile katiba pendkezwa ipite kwakua nawao itawabana hivyo huo utakuwa mwanzo mzuri wa kupata katiba itakayo jenga mfumo bora kabisa,ambao unaweza leta ustawi wa jamii ya kitanzania,kwa sababau almost bunge lita balance yale mambo ya ndio mzee hatakamahupendi yataisha.Hvyo pint yangu anaye weza kuwa ng,oa CCM NI MWANA CCM MWENZAO AMBAYE NI LOWASSA.kutokana na mifumo yetu iliyopo.
 


Ukimsoma tangu post yake ya mwanzo na kama kweli unamapenzi mema na nchi yako utakuwa umemwelewa; tatizo ni kama unataka kusikia unachokifurahia kwa faida binafsi then its so difficult kuamini au kuelewa hii plain truth.

I sincerely say this, kama mm ningepata nafasi ya Magufuli for God sake jinsi watu hawa walivyoiharibu nchi yetu nakututesa hivi.... Ningemwomba Mungu aniondolee moyo wamsamaha kwa dakika chache kama Yesu alivyopindua meza za wachuuzi kule kwenye nyumba ya baba yake niwaonyeshe holly anger inavyowezableta adabu na kukomesha tabia kama walizozileta kwetu.... Kwakua Mungu ni meenye rehema na haki basi ndiyo maana hakunipa hata kujiongoza mwenyewe; I thank him for that!
 
Nianze kwa kusema ,duniani hakuna aliyemkamilifu tumejaa udhaifu mwingi ndiyo maana nadhani ndiyo sababu Mungu aliweka amri 10 na sheria zingine ndogondogo kulingana na wkt na uhitaji hii ni kuwabana watenda kaz katika nyumba yake kwa kila jambo muhimu wafanyalo ktk ktk utumishi wao na jamii yao kwa ujumla.

Hii imekuwa kiu ya watanzania kila uchaguzi na nchi nyingi za kiafrika kila uchaguz tukimsaka perfect man(mtu mkamilifu) ambaye kihalisi hayupo, sisemi tuweke yeyote bali tunapaswa kwanza tuamini kuwa hakuna aliyekamilika bali tuamini tunaweza kuwa na mfumo bora wenye kuwabana watu japo kutumika ktk masirahi mapana ya uma.

Ukitaka kujua uhalisi wa hoja hii fuatilia kila mgombea wako utagundua kuwa hakuna asiye na doa either kimaamuzi /kiutendaji ktk wizara/idara aliyowahi kuaminiwa.

Huwezi walaumu ni mfumo wetu uliosababisha haya kutuaminisha kuwa kuna mtu mkamilifu hivyo kumkabidhi mamlaka makubwa kimaamuzi kwa niaba ya taifa kitu ambacho wote tunakubali kuwa umefeli.Hii ni kutokana na ushahidi ulio wazi kuwa watu wamefanya maamuzi ya taifa kwa masrahi yao.

Ndiyo maana tunasema hatuhitaji mtu bali tunahitaji mfumo ongozi na siyo mtu mkamilifu ambaye hayupo.Mfumo huu msingi wake ni katba yenye masrahi mapana ya umma, ilakayotupa new structure(Muundo mpya) wa serikali yenye kuweka nguvu kubwa ya kimaamuzi kwa watu na sio mtu.

Leo utakuta tunawalaumu mawaziri/viongozi kuwa waliamua vibaya sio kosa lao they are actually expressing that they are human being thus, they are not perfect.

Maamuzi ya masuala ya umma yaamliwe /yachakatwe na wengi(wabunge wetu, wataalam wetu) ambapo maamuzi yote yatazingatia mazingira yote kiuchumi, kisiasa,kisheria nk.

Ukimuona Obama anatangaza kitu sio yeye bali wachumi na wataalam wote wameshachaka kuona masrahi mapana ndani ya uamuzi huo...

Binafsi naunga mkono jitihada zote zinazodai mabadiliko ndani ya nchi hii tukianza na katiba.

Watanzania hatuhitaji mtu tunahitaji mabadiliko ya mfumo mzima hasa katika maamuzi ya umma.Guys narudia tena ujumbe huu Kwa Watz wote na wapenda maendeleo..
Mifumo ya kumtegemea MTU imepitwa na wakt dunian..
 
Yuko anayeweza kuamrisha gari lisukumwe wakati yeye akiwa ndani...ndio utamaduni wa dereva!!tunamuhitaji dereva wa kuamrisha watu walisukume gari wakati yeye akinyoosha usukani.

Ama kweli umewajbu wengi!
 
Magufuli hana ubavu wa kubadilisha mfumo uliooza wa ccm. Ni mfumo huo huo mbovu ndio uliompitisha. Lazima atautetea.
 
Ok. Sasa hapo unadhani mwenye nguvu ya kufanya hilo gari bovu lisogeee ni wanaosukuma nje au magufuli aliyeko ndani kwenye usukani..tafakari chukua hatua

Hao wasukumaji ni sehemu ya abiria wa hilo gari, wanaelekea point B kutoka A.
 
Magufuli hana ubavu wa kubadilisha mfumo uliooza wa ccm. Ni mfumo huo huo mbovu ndio uliompitisha. Lazima atautetea.

Lowassa anapata wapi huo ubavi wa kubadili mfumo? mtu wa kubadili mfumo ni mtu ambaye ni 'dictator' kwa mfumo huu!
 
meningitis hahukumiwi mtu hapa bali watanzania wapiga kura waliojiandikisha wenye vichinjio wamekwishaweka azma ya kupata mabadiliko na mabadiliko hayo wanaamini kwa dhati yatatoka kwa Lowassa na UKAWA hasahasa Chadema..hizi kampeni zako nenda kwenye majukwaa ya CCM ndio utapata washabiki lakini huku jamvini watu hawadanganyiki
 
Lowassa anapata wapi huo ubavi wa kubadili mfumo? mtu wa kubadili mfumo ni mtu ambaye ni 'dictator' kwa mfumo huu!

Duh! Magufuli hawezi kuwa na u-dikteta wowote. Kwa mfumo na muundo wetu wa utawala, dikteta ni chama, sio mtu. Ukivuliwa uanachama, huna chako. Hata uraisi ni wa chama, sio mtu binafsi.
 
Lowasa ndio zaidi ya makomeo..to heal na system anayoisimamia...unampigia nani kelele mchague kimyakimya tu...then uone ulivyotupa kura yako..
 
Nje ya katba ya wananchi, hakuna jipya ...mnayemsema mwenyewe keshasema atasimamia ilani ya chama chake ..ambayo imepitishwa na wachache (Wanaccm tunahitaji katba ambayo itakaba kila MTU..
Katka mifumo ya demokrasia ambapo wengi wanachagua yeyote anaweza Kuwa kiongoz as long as wengi wamemchagua ..ndo maana tunatakiwa tunatakiwa tusuke katba ya wananchi ili yeyote atakayeingia atanyooshwa namfumo...
Tuko wananchi zaid ya 40m kukipa madaraka makubwa kichwa kimoja kibovu mwaweza hata kuuzwa...
Kwa hiyo nitazid kuunga mkono juhudi zote zinazopambana kujenga upya tz kwa kuanzia msingi ambao ni katba ambayo itawapa uma nguvu ya kufanya maamz yahusuyo taifa lao na siyo m2 Mmoja.
 
Ha ha ha ha ha mkuu umetsha
Et vijana wa IT wa Masaki wanakuja na story za boyz to men mi nimewaambia hta magufuli awe girls to boy atajua yeye
kweli mkuu wanataka kutuaminisha kuwa magufuli ni tofauti na ccm as if anaenda kuongoza peke yake wake anazungukwa na team ya mazombie yale yale makina Mwigulu, kigwangala , makamba, nkamia, pinda and the like hatuwezi kuendelea kuamin ngojera za push up, sisi tunataka rais siyo bondia kama anaweza ubondia aende kwa kina francis cheka huko aaah
 
Ha ha ha ha ha mkuu umetsha
Et vijana wa IT wa Masaki wanakuja na story za boyz to men mi nimewaambia hta magufuli awe girls to boy atajua yeye
kweli mkuu wanataka kutuaminisha kuwa magufuli ni tofauti na ccm as if anaenda kuongoza peke yake wake anazungukwa na team ya mazombie yale yale makina Mwigulu, kigwangala , makamba, nkamia, pinda and the like hatuwezi kuendelea kuamin ngojera za push up, sisi tunataka rais siyo bondia kama anaweza ubondia aende kwa kina francis cheka huko aaah
 

Hebu taja na mazombie yanayomzunguka lowassa tulinganishe
 
Hebu taja na mazombie yanayomzunguka lowassa tulinganishe
kama unajua lowassa anazungukwa na mazombie kwanini hujawataja kama nilivyoyataja mazombie mwigulu, kigwangala , Nape, makamba, Nyalandu ,na wewe mwenyewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…