Kwa point hiyo hiyo pia hakuna guarantee kwa vipers au timu za uganda kuzifunga timu zote za Tanzania.Mpira hauko hivyo,kufika robo fainali ya CAF haitoi guarantee ya kuwafunga ambao hawakufika level hiyo,,kumbuka Simba msimu uliopita alifungwa na Prison ambaye sina hakika kama ameshawahi kushiriki kwenye michuano ya CAF
Simba sio wanafiki kama wewe. Wewe utopopoloNachukiwa na wana Simba SC Wapumbavu na Mataahira kama akina rodrick alexander na tracebongo kwakuwa sina Desturi ya Unafiki kama Wao.
unaweza kuwa na timu bora ila huna record nzur champions leagueHiyo vipers,ura,express sport club villa...zimefikia hatua gani kimataifa kwa miaka ya karibuni?twende kitakwimu.
mama yangu kaingiaje?Kuliko la Mamaako?
Naona kama unajizungumzia, wewe na Manara hamna tofauti au umesahau ulikuwa unaleta Uzi umeshiriki kwenye ulozi wa mechi za Simba na wakati mwingine unaleta habari za uchawi sijui mganga kasema Ili tushinde tufanye hivi .
Mtu Gani mwenye exposure anafatilia uchawi.
Kabla ya kutoa pumba zak
Huyo bidada ana matatizo Sana, nahisi atakuwa kaachwa na mumewe ndiomaana ana lugha chafu zinazotokana na stressangalia unaongea na mtu wa aina Gani.
Leo nimekupa like,kumbe kuna misimu akili zako zinarudi!!!Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )
Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Kwa kweli inabidi wenzetu wajitathimini tena kama wanatosha kushiriki kwenye Club bingwa ya Afrika.Michezo yao mingi wanaicheza kwenye mitandao,magazeti na radio na kuacha kushughulikia uhalisia (mapungufu ya timu) wasije wakatolewa katila round ya kwanza kwenye mashindano ya kimataifa.Hapo ndipo kuna tofauti ya Simba na wao.Bado wanayo nafasi lakini ya kurekebisha vinginevyo watarajie kuzifunga timu ndogo za Tanzania.Usifananishe Simba na utopolo kimataifa Africa mashariki hakuna wa kutugusa
Safi sana leo simba mnagegedana wenyewe.Na humo mote ulikuwa unasomea matusi? Nadhani ume qualify na kutunukiwa degree ya matusi.
Mtoto wa kiume una matusi Kama mke mwenza aliyeachika!!! Yaani unatamba kabisa kuwa wewe ni bingwa wa kutukana na kusema ovyo!!
Halafu hufanani kabisa na mote ulimoorodhesha kuishi. Angalau ungekuwa na kaustaarabu fulani.
Kuna kitu unakosea au unasahau.Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )
Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Jibu swali acha kuleta ujuaji wako wa nyegezi malimbe form six chaliTakwimu niliyonayo ni ya Wewe Kutoa ( Kuchomoa ) Mimba kila mwaka.
Yanga hawakujiandaa kiakili na ndio maana walicheza mpira mzuri pasi nyingi wakasahau kutengeneza nafasi za magoli,ila walidominate. Ila wale ukiachana na mpira kipaji, jamaa wale vyuo vyao vya kukuza vijana wao vimewasaidia. Wanajua kukaba na kuabsorb pressure.Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )