Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

Mpira hauko hivyo,kufika robo fainali ya CAF haitoi guarantee ya kuwafunga ambao hawakufika level hiyo,,kumbuka Simba msimu uliopita alifungwa na Prison ambaye sina hakika kama ameshawahi kushiriki kwenye michuano ya CAF
Kwa point hiyo hiyo pia hakuna guarantee kwa vipers au timu za uganda kuzifunga timu zote za Tanzania.
 
Ili tu usifiwe na utopolo kwamba unaandika ukweli. Ila ulichoandika ni pumba sana. Soka halina formula maalum kwamba ukiwekeza kwa vijana kwa kukuza vipaji basi utazifunga timu zote ambazo hazijawekeza kwa vijana.
 
Waganda wako vizuri.Niliangalia ile timu ya vijana KCCA iliyochukua kombe la Cambiaso nikaona jinsi wanavyopiga mpira nikaona tu ni kiasi gani walivyowekeza kwenye soka la vijana.Soka letu linachagizwa zaidi na mashabiki ndo maana uwekezaji unakua mkubwa ila kwa swala la pira tamu bado hatuwezi kuwafikia timu za uganda.
 
Hiyo vipers,ura,express sport club villa...zimefikia hatua gani kimataifa kwa miaka ya karibuni?twende kitakwimu.
unaweza kuwa na timu bora ila huna record nzur champions league
 
Labda kama unatupa tu dongo kwa jirani.

Pale taifa wameshakaa kina Asec, Vita, Orlando,El mereck, Mazembe, Berkane, Al ahly ...hao Vipers wao ni kina nani kwani?.
 
Naona kama unajizungumzia, wewe na Manara hamna tofauti au umesahau ulikuwa unaleta Uzi umeshiriki kwenye ulozi wa mechi za Simba na wakati mwingine unaleta habari za uchawi sijui mganga kasema Ili tushinde tufanye hivi .
Mtu Gani mwenye exposure anafatilia uchawi.
Kabla ya kutoa pumba zak

angalia unaongea na mtu wa aina Gani.
Huyo bidada ana matatizo Sana, nahisi atakuwa kaachwa na mumewe ndiomaana ana lugha chafu zinazotokana na stress
 
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )

Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Leo nimekupa like,kumbe kuna misimu akili zako zinarudi!!!
 
Yanga wamecheza vizuri sana lakini hawana mipango ndio kosa lao nakimataifa watajuta yule mzee wakutetema kilasiku nasema hawezi kusaidia team inapo zidiwa
 
Usifananishe Simba na utopolo kimataifa Africa mashariki hakuna wa kutugusa
Kwa kweli inabidi wenzetu wajitathimini tena kama wanatosha kushiriki kwenye Club bingwa ya Afrika.Michezo yao mingi wanaicheza kwenye mitandao,magazeti na radio na kuacha kushughulikia uhalisia (mapungufu ya timu) wasije wakatolewa katila round ya kwanza kwenye mashindano ya kimataifa.Hapo ndipo kuna tofauti ya Simba na wao.Bado wanayo nafasi lakini ya kurekebisha vinginevyo watarajie kuzifunga timu ndogo za Tanzania.
 
Na humo mote ulikuwa unasomea matusi? Nadhani ume qualify na kutunukiwa degree ya matusi.
Mtoto wa kiume una matusi Kama mke mwenza aliyeachika!!! Yaani unatamba kabisa kuwa wewe ni bingwa wa kutukana na kusema ovyo!!
Halafu hufanani kabisa na mote ulimoorodhesha kuishi. Angalau ungekuwa na kaustaarabu fulani.
Safi sana leo simba mnagegedana wenyewe.
 
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )

Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Kuna kitu unakosea au unasahau.

Ni kweli Uganda yuko mbele kisoka kuliko Tanzania Kwa ngazi ya National Team, ila Africa Mashariki na kati ngazi ya Club Simba ni level ingine kabisa. Timu zinazoweza kuisumbua Simba mpaka useme angepigwa tu ni labda Mazembe, na awe amejiandaa.

Vipers, sijui Gor Mahia, Bandari au Express au mwengine yoyote yule Kwa Simba lazima achezee kichapo tu akija kiboya
 
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )

Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Yanga hawakujiandaa kiakili na ndio maana walicheza mpira mzuri pasi nyingi wakasahau kutengeneza nafasi za magoli,ila walidominate. Ila wale ukiachana na mpira kipaji, jamaa wale vyuo vyao vya kukuza vijana wao vimewasaidia. Wanajua kukaba na kuabsorb pressure.
 
Back
Top Bottom