joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Brother wewe mpira unaujua ila mashabiki wenzio wanaongelea magoli ila hawa ongelei mchezo kiujumla na vile walivyo cheza Vipers ndivyo inavyo takiwa kucheza ugenini, wametoa shule jinsi ya kucheza ugenini.Sasa kama umeshajua Mimi ni Mjinga mbona bado tu Unahangaika na Mimi? Nikikuita Mpumbavu nitakuwa nakosea?
Enzi hizo bado saut ni institute tu ya fr rweyongezaMimi wakati naanza kushambulia mpira wewe ulikuwa kwenu unachunga ng'ombe umefika mjini unajifanya kila kitu unajua hiyo saut unayotamba kwamba umesoma kulikuwa sio chuo kikuu kuwa na adabu bwana mdogo
Anaejua mpira hawezi kuandika timu A 'ingefungwa' na B kwa timu ambazo zinatoka dunia moja yaani ya tatu. Hakuna timu kutoka Egypt, Tunisia, au Algeria yenye uhakika 100% kwamba itazifunga simba au yanga kila watakapokutana sembuse hao vipers.Brother wewe mpira unaujua ila mashabiki wenzio wanaongelea magoli ila hawa ongelei mchezo kiujumla na vile walivyo cheza Vipers ndivyo inavyo takiwa kucheza ugenini, wametoa shule jinsi ya kucheza ugenini.
Kwani hivi unaijua historia ya Simba Day? Kama unajua history ya Simba day,huwezi kuicheka Yanga.Anaejua mpira hawezi kuandika timu A 'ingefungwa' na B kwa timu ambazo zinatoka dunia moja yaani ya tatu. Hakuna timu kutoka Egypt, Tunisia, au Algeria yenye uhakika 100% kwamba itazifunga simba au yanga kila watakapokutana sembuse hao vipers.
Mada zingine ni za kishabiki maandazi tu.
Simba hii hio waliowafunga al ahly, as vita, chiefs, orlando kwa mkapa. Hebu acha wenge wewe utoKiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )
Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Mada inasema ' simba ingefungwa na vipers' . Mleta mada anasema ni kwa sababu ya ubora wa vipers na sio historia ya matokeo ya simba day .Kwani hivi unaijua historia ya Simba Day? Kama unajua history ya Simba day,huwezi kuicheka Yanga.