Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

Sasa kama umeshajua Mimi ni Mjinga mbona bado tu Unahangaika na Mimi? Nikikuita Mpumbavu nitakuwa nakosea?
Brother wewe mpira unaujua ila mashabiki wenzio wanaongelea magoli ila hawa ongelei mchezo kiujumla na vile walivyo cheza Vipers ndivyo inavyo takiwa kucheza ugenini, wametoa shule jinsi ya kucheza ugenini.
 
Hii timu ya Vipers bahati nzuri inashiriki ligi ya mabingwa Africa sijajua misimu iliyopita wana mafanikio gani ama wamewahi fika hatua gani kwenye michuano hii ila specifically nataka kuwatazama kwenye michuano ya Mwaka huu
Lakini kwa ninavyoelewa Vipers kuwafananisha kiuwezo na Simba ni kuikosea heshima Simba Sc hao Vipers ni timu zile za kawaida (Including Yanga Sc) ambazo mara nyingi kama sio zote huishia preliminary stage au hatua ya kwanza ya michuano ya Caf
 
Brother wewe mpira unaujua ila mashabiki wenzio wanaongelea magoli ila hawa ongelei mchezo kiujumla na vile walivyo cheza Vipers ndivyo inavyo takiwa kucheza ugenini, wametoa shule jinsi ya kucheza ugenini.
Anaejua mpira hawezi kuandika timu A 'ingefungwa' na B kwa timu ambazo zinatoka dunia moja yaani ya tatu. Hakuna timu kutoka Egypt, Tunisia, au Algeria yenye uhakika 100% kwamba itazifunga simba au yanga kila watakapokutana sembuse hao vipers.
Mada zingine ni za kishabiki maandazi tu.
 
Kwani hivi unaijua historia ya Simba Day? Kama unajua history ya Simba day,huwezi kuicheka Yanga.
 
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )

Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Simba hii hio waliowafunga al ahly, as vita, chiefs, orlando kwa mkapa. Hebu acha wenge wewe uto
 
Kwani hivi unaijua historia ya Simba Day? Kama unajua history ya Simba day,huwezi kuicheka Yanga.
Mada inasema ' simba ingefungwa na vipers' . Mleta mada anasema ni kwa sababu ya ubora wa vipers na sio historia ya matokeo ya simba day .

Kwa akili ya kawaida mtu anaejua soka anaweza kuihalalisha timu tena iliyochini ya viwango vya ubora kwamba itaifunga tu timu fulani iliyo juu kwa ubora kisa tu haijawekeza kwa vijana?
 
Back
Top Bottom