Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

account ya GENTAMYCINE imedukuliwa au ? 😂 leo sa 12 asubuhi kaweka uzi wa kumponda dewji na sasa ni uzi huu, nimeingia jukwaa hili kimachale nikitegemea ntakuta uzi wake wa kusherekea kufungwa kwa yanga ila ni tofauti 😂 hongera mkuu, kumbe wewe unajua mpira sio kuwa shabiki mnazi ambae hawezi kuona hata ukweli kisa ushabiki
Nachukiwa na wana Simba SC Wapumbavu na Mataahira kama akina rodrick alexander na tracebongo kwakuwa sina Desturi ya Unafiki kama Wao.
 
Wewe sio Simba ila Kwa kupenda sifa unajifanya ni mshabiki wa Simba, wanasimba tunajijua we mfate mwenzako Manara.
Mbona hivi sasa unakuwa Mpole na unatia sana Huruma? Jifananishe na Wapuuzi Wenzako na siyo Mimi GENTAMYCINE sawa?
 
Naona kama unajizungumzia, wewe na Manara hamna tofauti au umesahau ulikuwa unaleta Uzi umeshiriki kwenye ulozi wa mechi za Simba na wakati mwingine unaleta habari za uchawi sijui mganga kasema Ili tushinde tufanye hivi .
Mtu Gani mwenye exposure anafatilia uchawi.
Kabla ya kutoa pumba zako angalia unaongea na mtu wa aina Gani.
Kusema kuwa nimeshiriki Ulozi logically hiyo Kwako Wewe damn Moron ndiyo Justification kuwa nimefanya Kweli? Nikisena huna Akili na nikiwa Nakudharau usiwe unachukia sawa?
 
Unanijua hadi nikiwa mpole au mkali unanitambua Leo umeingia choo Cha kike
Choo cha Kike kwa Uncircumcised Baboon kama Wewe?

Itaneni Wote na MImi nipo peke yangu ila hamtoniweza kwa Vita ya Maneno ambayo nina 'Doctorate' nayo sawa?
 
Kusema kuwa nimeshiriki Ulozi logically hiyo Kwako Wewe damn Moron ndiyo Justification kuwa nimefanya Kweli? Nikisena huna Akili na nikiwa Nakudharau usiwe unachukia sawa?
Ndio maana nikasema wewe na Manara hamna tofauti Kwa sababu mnabishana wenyewe Kwa wenyewe mnakana kauli zenu au unataka nilete nyuzi zako za kusifia uchawi halafu unajifanya una exposure
 
Makolo genta. Charming,charismatic, fela sijui fela kuti au mkubwa fela kumbe unaakili sana, hlo uliloongea ndo asili ya mtz og, ss ni watu wa zima moto na wala so watu wa mipango, nafikiri kuwa na makabila zaidi ya 125 zimechangia manake tuna mila na tamaduni zaidi ya 100 ukiongeza na uswahili, endapo Tanzania ingekua na makabila matatu tu wachaga, wakinga, wasukuma ( ntuzu ), Tungekua mbali sana makabila 122 yaliyobaki ndo yanayotuchelewesha, na ndani ya miaka 25 ijayo uchumi wote wa Tanzania utamilikiwa na makabila hayo matatu.
 
Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote​

Unataka Vita nami wakati Bando huna, Umesha Log Out JF na unategemea Bando la Shemeji yako

Naona hadi waliokuwa Wakikusaidia katika Vita ya Kunishambulia nao Wamekimbia (. Log Out ) na Kusalimu Amri kwa Jeshi la Mtu Mmoja GENTAMYCINE.

Ukitaka Vita nami ujipange hasa Ok?
 
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )

Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Unatuvunjia heshima aisee! Hatujawahi kudharauliwa kiasi kama hiki kwa mkapa!....... tena utuombe radhi haswa!...... hasira zako zinakuja kuishia kuisema Simba vibaya! et!

Hivi nikuulize hao Vipers wamefika makundi Caf mara ngapi?
 
Yanga amezoea ushindi wa bahasha......

Simba angemkalisha viper mapema sana... yaani kweli ufike nusu fainali ya klabu Africa halafu ushindwe kumfunga viper?

Unaidharau Simba mkuu
Mpira hauko hivyo,kufika robo fainali ya CAF haitoi guarantee ya kuwafunga ambao hawakufika level hiyo,,kumbuka Simba msimu uliopita alifungwa na Prison ambaye sina hakika kama ameshawahi kushiriki kwenye michuano ya CAF
 
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo ( nasi ) tungefungwa vile vile na huenda hata kwa Magoli zaidi ya Waliyofungwa Yanga SC ( Watani zetu )

Kwanini Yanga SC leo imefungwa na Timu za Tanzania kuanzia ya Taifa ( Taifa Stars ) na hata Simba SC yangu huwa zinafungwa mno na Uganda ( Klabu za Uganda ) ni kwamba Sisi Tanzania Soka letu tumeliwekeza zaidi katika Siasa, Majungu, Utapeli ( Uwongo ) na Propaganda wakati Uganda ( Waganda ) Wao Soka lao wameliwekeza zaidi katika Ufundi, Utaalam, Mikakati na Maandalizi ya Kimsingi ya Kukuza Vipaji vya Wachezaji wao tokea Ngazi za Shule za Msingi, Upili na hata Vyuo Vikuu.
Akili yako zero kabisa, unafananisha yanga na simba!!! Jaribu kufukiri zaidi.
 
Back
Top Bottom